Ujasusi: Silaha Hatari na Siri za Mataifa

Tanzania Majasusi tunao ila.. narudia tena ila..

Nahisi wengi ni vilaza na wachache wana uwelewa mkubwa wa Mambo.
poyoyo umeshiba sembe sasa ni mwendo wa kupumua tu wacha dharau kwa nchi yako huji ulizi tumezungukwa na mataifa ma nane na tuna mali za kutosha ila mpaka leo hakuna vita alafu unasema eti majasusi wetu ni vilaza ....ishiiiii ......weka siasa kando taifa kwanza...uzalendo mbele ..
 
Ukiongelea ujasusi Marekani, britain na Israel toa hao sio majasusi hao ni wanatumia kitu kinaitwa black mailing. Mfano kiongozi wa Afrika anaenda new york kwenye kikao cha umoja wa mataifa hotel aliyofikia wametega kamera kila mahali. Wanafikia hatua ya kutegesha malaya ambao wanafanya ngono na viongozi kisha kiongozi huyo anakuwa mtumwa wao in short anakuwa compromised. Ndio mana JPM hakuwahi kusafiri kwenda west.

Unapoongela ujasusi zungumzia china, urusi, cuba au iran kupitia kundi la hisbullah. Hisbullah ndiyo kundi hatari duniani likijihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya na silaha hiyo ni network ipo dunia nzima. Marekani juzi juzi waligundua kuwa kuna kituo cha polisi cha wachina hapo china town ndani ya nchi yao miaka yote hawakujua kuwa china wanakituo cha polisi na sio kimoja.

Ujasusi zungumzia urusi wanajua kila kona ya ucraine ambapo silaha zina hifadhiwa. Hizo nchi ulizo zitaja hazijui ujasusi. Marekani ana ujasusi gani kazi yake ni kununua taarifa kupitia pesa basi.
 
Information Intelligence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…