Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

Jasusi on the ground anatakiwa ku pass information kjwa superiors wake wao ndo wataichambua taarifa na kushirikiana na vyombo vingine vya dola. Jasusi wa ground anakusanya taarifa ambazo ni raw. Zile taarifa raw zinachanganwa na taarifa zingine na kufanyiwa uchambuzi halafu ndo inafanyika decision making. Decision making inaweza ikawa ni kushauri chombo fulani labda polisi au watu wa sera au mambo mengine. Na ili taarifa iweze kuonekana ni intel lazima kuwe na concrete evidence bila chembe ya doubts...
 
Mkuu kama ni hivyo kweli, ilikuwaje yule naibu waziri alikwapuliwa kila kitu na malaya guest kule moro? Hao usalama hawakuusoma mchezo?

Mkuu tofautisha maneno haya KUFUATILIWA NA KULINDWA
 
mkuu Freelancer asante sana kwa kunisahihisha kaka.....
 
Kuna jasusi na wapelelezi
Jasus hana sheria inayomlinda kwa sababu anafanxa kaz kama kivuli na anaweza akazuia kwa kuangamiza kama sniper au whatever kulingana na mission yake without left any single doubts ya mhusika kwan n kosa kufahamika , kwa usiwe na shaka na hilo Kwan wamefumzwa

Wapelelez n kama fbi wanachunguza then wanashirikiana na polis
Lazima ujue kaz kubwa ya wapelez n spies capture na kulinda maslah ya nchi ndan ya nchi
Polis wanalinda raia hawana taaluma ya kukamata jasusi wala kumtambua au namna ya vifaa avitumiavyo

Dunian tunajua kuna cia lkn hakuna nchi inaxowatambua au kuwakaribisha lkn wapo nchi mbalmbali hata tz na wabafanya kaz wakigundulika n kosa kubwa la kidplomasia kt ya nchi hizo
Na huyo mtu atapotea daima

Na majasus wanaingia kupitia shuguli za baloz kama watumish na pia biashara

Tz tunachombo km cia
Je tunachombo kama fbi?
Kimajukumu
Majib tafadhal
Then tumjadil yericko
 
Ramark naona unataka kuturudisha katika mjadala huu Ni nini tofauti ya Mwanausalama na Askari wa Upelelezi?
 
Kuna askar upelelez na mplelezi au mchunguz ambaye si askari
 
Nami nauliza hv hao majasusi unaweza ikatokea wakaugua ukichaa?..yaani kuchizi?
 
Imekaa vizuri hii.. Kwa maneno mengine watu ambao wana blend in kirahisi na hawana identifiable patterns/attributes zinazoweza kuwatofautisha na watu kawaida
 
My braza Yericko,
Tofautisha upelelezi na intelijensia. Unachokiongelea ni intelijensia na sio upelelezi.
Upelelezi Mara nyingi unakuwa ktk kugundua mbinu za wahalifu, kosa, ama wahusika wa uhalifu kwa kukusanya uchunguzi wao
 
 
Mkuu, kuna vyuo vyovyote binafsi vinavyotoa taaluma hii ya upelelezi/ujasusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…