UJASUSI; Usiwaambie watu Ndoto/malengo yako. Future ni Siri na ndoto inapaswa kuwa Siri

EXPERIENCE %
 
Sasa
Mkuu vip kama mabosi wasipokuona na vip wakimpa hiyo tuzo mtu unaydmzid uchapakaz?
 
Aiseeh!
Hatari Sana hiyo
Sema ukiacha macho ya watu nilikua mzembe. Gari kila kitu na kodi ilikua 12.7 enzi hizo dola sio mbaya. Mi nina cash 16! Ya kulipa nje nimetuma mpunga wa kodi umebaki na chenchi juu! Hizo meza zilichafuka sana!
 
Swali la kizushi kwa mtoa mada.

Kabla sijawa mwanachama wa jf,niliwahi kusoma uzi wa mtu aliyependekeza mleta uzi apewe nafasi serikalini.

Huyo mtu ulimsuka ama vepe.

Na je, wewe huwa unatamani kupata kazi serikalini ?
 
Sema ukiacha macho ya watu nilikua mzembe. Gari kila kitu na kodi ilikua 12.7 enzi hizo dola sio mbaya. Mi nina cash 16! Ya kulipa nje nimetuma mpunga wa kodi umebaki na chenchi juu! Hizo meza zilichafuka sana!

Hatari Sana.
Sema ndio kujifunza japo in hard way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…