Ujauzito huu sijui nimebeba nini msaaada wataalamu

Ujauzito huu sijui nimebeba nini msaaada wataalamu

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Habarini
Nina ujauzito nimepima
Nikaenda kufanya na ultrasound
Sasa ivi napata mwez wa 6 wa ujauzito wangu
Nimekuja Leo hospital kupima sound mimba inasoma Ina week 2

Si umwi kokote mwilini
Msaaada wenu jamaii
 
Habarini
Nna ujauzito nimepima
Nkaenda kufanya na ultrasound
Sasa ivi napata mwez wa 6 wa ujauzito wangu
Nimekuja Leo hospital kupima sound mimba inasoma Ina week 2

Si umwi kokote mwilini
Msaaada wenu jamaii
Pole sana Dada
 
Hiyo namba ya simu uliyotoa nikutafute mwisho saangapi?
 
Kwahio hapo ya kwanza huenda ilikuwa sio Mimba hii ya sasa ndio mimba ambayo umepima na vipimo ambavyo ni more reliable...

Anyway wataalamu waliopima wamekwambia nini ?
 
Kwahio hapo ya kwanza huenda ilikuwa sio Mimba hii ya sasa ndio mimba ambayo umepima na vipimo ambavyo ni more reliable...

Anyway wataalamu waliopima wamekwambia nini ?
Wanasema inaweza ikawa imeharibika
 
Nenda hospital nyingine fanya vipimo zaidi isije leta madhara zaidi,, na ujihakikishie mazingira ya upataji mimba isiwe mume wa mtu inaweza ikawa michezo!
 
Wanasema inaweza ikawa imeharibika
Yaani wanasema tu inaweza bila kufanya uchunguzi zaidi wala kukushughulikia wala kukupa uhakika ? Hao kazi yao ni kutibu na kukupa peace of mind / msaada au kukupa panic ?
 
Pole sana, hio mimba kitaalam haipo inapungua, na haipo. Tafuta hospital nzuri uhakikishe hili, Kuna uchafu wowote Ulishauona ukeni? Au hata damu?
 
Back
Top Bottom