Ujauzito huu sijui nimebeba nini msaaada wataalamu

Ujauzito huu sijui nimebeba nini msaaada wataalamu

Nenda hospitali kubwa kacheki,miezi 6 Kwa wiki 2 mbona havina uhusiano?
Unasikia mtoto anacheza?
Ukuaji wa tumbo vipi linakua au uko kawaida tu?
 
Habarini
Nna ujauzito nimepima
Nkaenda kufanya na ultrasound
Sasa ivi napata mwez wa 6 wa ujauzito wangu
Nimekuja Leo hospital kupima sound mimba inasoma Ina week 2

Si umwi kokote mwilini
Msaaada wenu jamaii
Wizi mtupu
 
Back
Top Bottom