Wana jf popote mlipo heshima kwenu. Nawapongeza kwa mawazo na michango yenu kila panapohtajika ushauri. Kuna rafiki yangu ambaye mkewake kajifungua miezi mi4 iliyopita na kwa bahati mbaya ameconceive tena. Kiukweli wote wamechanganyikiwa yani mke na mume, wamekuja kuniomba msaada wa mawazo wafanyaje maana wanasema itakuwa ni aibu ya mwaka. Nami nikaona niwaombe mawazo yenu ili2jue tunamsaidiaje huyu rafiki. Aksanteni na mbarikiwe..karibu kwa michango ya mawazo yenu.