Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 247
there isn't sadly. ectopic pregnancy inabidi kuondolewa kuokoa maisha ya mama.Wadau habari zenu! Tafadhali naomba kujuzwa kwa anaejua.
Hivi mimba inapokuwa imetunga nnje ya mfuko wa uzazi ni sherti itolewe au kuna njia nyingine mm'badala wa mimba kuendelea kuwepo?!
Nimeuliza hili maana nimekwenda hospitali nikapimwa nakuambiwa mimba yangu iko nnje yamfuko inatakiwa kufanyiwa Op, nikafanyiwa kwa kuondosha ujauzito wangu! Imeniuma ila sijui kama ndivyo ilivyo, naombeni kujuzwa afadhali,
Jokes pembeni.
Nawasilisha.
Wadau habari zenu! Tafadhali naomba kujuzwa kwa anaejua.
Hivi mimba inapokuwa imetunga nnje ya mfuko wa uzazi ni sherti itolewe au kuna njia nyingine mm'badala wa mimba kuendelea kuwepo?!
Nimeuliza hili maana nimekwenda hospitali nikapimwa nakuambiwa mimba yangu iko nnje yamfuko inatakiwa kufanyiwa Op, nikafanyiwa kwa kuondosha ujauzito wangu! Imeniuma ila sijui kama ndivyo ilivyo, naombeni kujuzwa afadhali,
Jokes pembeni.
Nawasilisha.
kuna binadamu wengine kweli hamna utashi wala huruma,ivi ni kweli umechukua muda wako kusoma vizuri au ndo walewale wa kukurupuka na kusaini mikataba mibovu?amekwambia alivyoenda hospitalini wakamtoa na kumbuka pengine kwa hatari iliyokuwepo walimfanyia ili kumuokoa na si kwamba yeye alipenda vyovyote vile asingependa kutoa then aje hapa kuomba ushauri....kuwa na utu basi japo kidogoooo!!ushatoa alafu ndo unataka ushauri hata kama ukipata itakusaidia nini? Ungeomba kabla ya apo ningekuona wa maana!
jamani jamaniSorry hili tatizo la mimba kuwa nje ya mfuko wa uzazi huwa linakuwa tatizo la mwanamke au mwanaume?
Kwani mwanaume anabeba mimba?Sorry hili tatizo la mimba kuwa nje ya mfuko wa uzazi huwa linakuwa tatizo la mwanamke au mwanaume?
Tatizo huwa kwa anayebeba mimba, yupi Kati ya uliowataja huwa anabeba mimba?Sorry hili tatizo la mimba kuwa nje ya mfuko wa uzazi huwa linakuwa tatizo la mwanamke au mwanaume?
jamani jamani
Tatizo huwa kwa anayebeba mimba, yupi Kati ya uliowataja huwa anabeba mimba?