Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 247
Wadau habari zenu! Tafadhali naomba kujuzwa kwa anaejua.
Hivi mimba inapokuwa imetunga nnje ya mfuko wa uzazi ni sherti itolewe au kuna njia nyingine mm'badala wa mimba kuendelea kuwepo?!
Nimeuliza hili maana nimekwenda hospitali nikapimwa nakuambiwa mimba yangu iko nnje yamfuko inatakiwa kufanyiwa Op, nikafanyiwa kwa kuondosha ujauzito wangu! Imeniuma ila sijui kama ndivyo ilivyo, naombeni kujuzwa afadhali,
Jokes pembeni.
Nawasilisha.