Nimekuwa nikisikia toka kwa watu wengi kuwa mimba inapozaliwa na miezi sita na kuendelea mtoto anaweza kuishi isipokuwa ikizaliwa ikiwa na miezi nane mtoto hawezi kukua.Hapo ndipo nashindwa kuelewa iweje mimba ya miezi sita na saba mtoto akizaliwa anaishi na huyu ambaye ana miezi nane asiweze kuishi.
NNaomba msaada wa kujuzwa hilo.
:juggle:
Mkuu ungeweza kuipotezea tu kuliko kutoa jibu hilo........Biology huku soma.?
Mkuu ungeweza kuipotezea tu kuliko kutoa jibu hilo........
Biology huku soma.?