Ujauzito wa miezi nane kulikoni..................!!!!!!!!!!!!!!!

Ujauzito wa miezi nane kulikoni..................!!!!!!!!!!!!!!!

bakuza

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
492
Reaction score
104
Nimekuwa nikisikia toka kwa watu wengi kuwa mimba inapozaliwa na miezi sita na kuendelea mtoto anaweza kuishi isipokuwa ikizaliwa ikiwa na miezi nane mtoto hawezi kukua.Hapo ndipo nashindwa kuelewa iweje mimba ya miezi sita na saba mtoto akizaliwa anaishi na huyu ambaye ana miezi nane asiweze kuishi.
NNaomba msaada wa kujuzwa hilo.
:juggle:
 
... Kifupi nijuavyo,ukuaji wa mtoto
huwa unakamilika kwa baadhi ya vitu muhimu akifika umri wa miezi 7.
Hivyo hata akizaliwa kipindi hicho hakuna tatizo,ila huitwa Pre- mature [ njiti kama waliowengi walivyozoea kuita ],na akiwekwa katika uangalizi mzuri,atakua bila matatizo.

... Ila asipozaliwa katika kipindi hicho anaingia katika hatua nyingine ya ukuaji [kuanzia huo mwezi wa nane] ili awe Mature. Katika hatua hii ya ukuaji ambao
unapaswa kufanyika ndani ya tumbo la uzazi,ikitokea mtoto akazaliwa hapa katikati[miezi 8] uwezekano wa kuishi ni mdogo,kutokana na sababu baadhi ya vitu muhimu vinakuwa havijakamilika na vitasimama katika ukamilifu [growth].
 
.....Hili tatizo lipo developing countries kwa sababu ya ukosefu wa vifaa, developed countries watu wanazaa mimba ya miezi 5 na mtoto anasurvive.
 
Kuanzia wiki 28 ya ujauzito mtoto akizaliwa anaweza kuishi. Kwenye sayansi ya viumbe huwa hakuna specific figures kwa hiyo hizo wiki 28 ni average kwa population.
Wiki za ujauzito huwa zinaanza kuhesabiwa kuanzia siku ya mwisho ya hedhi ya mwisho.
 
Back
Top Bottom