Ujauzito wa mwezi mmoja ukipima Negative

mwezi umepita haujapata period circulation?
Kabla huja pima ultrasound Kuna mengi ya kuangalia ili kujiridhisha Kama Ni sababu ya kutunga kwa mimba
- je MAZIWA (matiti) YAMEVIMBA,?
- CHUCHU ZINA UMA?
-HAJA NDOGO KILA MARA
-KUSINZIA HOVYO HASA NYAKATI ZA ASUBUHI SAA 3,4-5.
I wapo hayo yooote hakuna na UPT hakioneshi UJAUZITO UPO YAWEZA KUWA HUNA UJAUZITO BALI UMEPUMXIKA TU KTK MZUNGUKO WAKO WA HEDHI
 
umeshawahi kusikia kuhusu hysterical pregnancy?
 
UPT kwa kiwango kikubwa haidanganyi...km haijaisha muda wake,naomba uniamini HUNA MIMBA! Km hujapata period huenda ni mabadiliko tu ktk mzunguko wako...!!
 
pia inawezekana ikawa ndio kesi yake huyu
Ila kuamini kuwa ni hysterical preg sio sahihi Sana kwakua bado Ni mwexi mmoja tu, pia hatujui historia ya chibonge katika mzunguko wake je aliwahi kusimama period na je ilitokea Mara ngapi kwa kipindi kipi? Pia umri wake .Ingekuwa rahisi kuamini ni shida hiyo ambayo utatuzi wake hutoka kwa wana saikolojia kwakua tatizo lenyewe huwa la kisaikolojia zaidi
 
yeah sure, acha aseme sasa tujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…