MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,850
- 3,041
Tatizo mi mvivu kuandika sijui nikopi pesti
Itakuwa vyema pia kama tu itaweza kumsaidia chibonge wetu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mi mvivu kuandika sijui nikopi pesti
Sawa tamsaidia subiri kauvivu kakuandika katokeItakuwa vyema pia kama tu itaweza kumsaidia chibonge wetu mkuu.
mwezi umepita haujapata period circulation?Unatakiwa upige ultrasound au nn?
Kabla huja pima ultrasound Kuna mengi ya kuangalia ili kujiridhisha Kama Ni sababu ya kutunga kwa mimbamwezi umepita haujapata period circulation?
umeshawahi kusikia kuhusu hysterical pregnancy?Kabla huja pima ultrasound Kuna mengi ya kuangalia ili kujiridhisha Kama Ni sababu ya kutunga kwa mimba
- je MAZIWA (matiti) YAMEVIMBA,?
- CHUCHU ZINA UMA?
-HAJA NDOGO KILA MARA
-KUSINZIA HOVYO HASA NYAKATI ZA ASUBUHI SAA 3,4-5.
I wapo hayo yooote hakuna na UPT hakioneshi UJAUZITO UPO YAWEZA KUWA HUNA UJAUZITO BALI UMEPUMXIKA TU KTK MZUNGUKO WAKO WA HEDHI
Ndio mkuuumeshawahi kusikia kuhusu hysterical pregnancy?
pia inawezekana ikawa ndio kesi yake huyuNdio mkuu
Ila kuamini kuwa ni hysterical preg sio sahihi Sana kwakua bado Ni mwexi mmoja tu, pia hatujui historia ya chibonge katika mzunguko wake je aliwahi kusimama period na je ilitokea Mara ngapi kwa kipindi kipi? Pia umri wake .Ingekuwa rahisi kuamini ni shida hiyo ambayo utatuzi wake hutoka kwa wana saikolojia kwakua tatizo lenyewe huwa la kisaikolojia zaidipia inawezekana ikawa ndio kesi yake huyu
yeah sure, acha aseme sasa tujue!Ila kuamini kuwa ni hysterical preg sio sahihi Sana kwakua bado Ni mwexi mmoja tu, pia hatujui historia ya chibonge katika mzunguko wake je aliwahi kusimama period na je ilitokea Mara ngapi kwa kipindi kipi? Pia umri wake .Ingekuwa rahisi kuamini ni shida hiyo ambayo utatuzi wake hutoka kwa wana saikolojia kwakua tatizo lenyewe huwa la kisaikolojia zaidi
Sawa kabisa mkuu.ila nahisi chibonge kapumzika maana hachangii chochoteyeah sure, acha aseme sasa tujue!
.mkuu chibonge tujibu maswali yaliyo kwenye post zilizo tanguliaSababu huwa n nn?