Ujauzito wa mwezi mmoja ukipima Negative

chibonge

Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
20
Reaction score
25
Habar zenu??eti unaweza kuwa na ujauzito wa mwezi mmoja ukipima kipimo kikasoma Negative
 
KAMA U P TEST IMEKWISHA MUDA WAKE(EXPIRED) AU HAIKUTUNZWA VEMA

Sasa mnashauri kipimo gani kitumike ambacho kitaleta majibu anuwai tumsaidie chibonge wakuu.

Kuna mtu aliwahi kuniambia kipo kipimo hata ujauzito ukiwa na siku 1 unaonekana ni kipi hiko wakuu...?
 
Kuna kipimo Zaid ya ultrasound lakini mmmmmh! Niishie hapo
 
Usiishie hapo funguka mkuu ili tumsaidie chibonge aisee.
Kipo ila madhara yake Ni makubwa na kwakua chibonge anashauku ya kujua Kama ana UJAUZITO japo wa siku kadhaaa hata jali madhara yanayoweza kumpata yeye atahitaji hicho kipimo kwa GHARAMA YOYOTE!!
 
Duh madhara gn hayo jaman
 
Back
Top Bottom