Ujauzito wa week 41 bila uchungu

Veronica7598

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
361
Reaction score
408
Aman iwe kwenu wakuu.

Wakuu nina ujauzito wa week40, lakini mpaka sasa naona kimyaaa mambo hayaja nichanganyia, napata maumivu sna hasa ya kiuno na mgongo.

Je nikawaida niendelee kuvumilia au nirudi tena hospital kwa uchunguzi zaidi.

Nasikia wahenga wanasema mtoto akikaa sana tumboni eti anaweza pata madhara je! Panaukweli hapo!
Msaada wenu wataalam.
 
up to 41 weeks + 6 days ni normal...

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Mara ya mwisho ulifanya ultra sound lini? Ni muhimu kwenda kucheki ili ujue 1. mtoto ameshasogea kwenye njia ya uzazi 2. Uzito wa mtoto etc. Daktari atakushauri cha kufanya.
 
Nimefanya ultrasound Mara 4, tofauti kila moja inasema tarehe yke, nyingine tar 16:6, 1:7, 10:7 yaan haina ukweli

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Nimefanya ultrasound Mara 4, tofauti kila moja inasema tarehe yke, nyingine tar 16:6, 1:7, 10:7 yaan haina ukweli

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Pole sana! Changamoto kwetu ni wataalam wa kusoma hizo report. Daktari wako anasemaje?
 
Kujifungua ni -14 days au +14 days ya due date.

Ila unabidi uwe unaonwa na madaktari pia haswa unavyoonekana hauyajui haya.

Wataona vipi wanaweza kukusaidia atoke na pia kuangalia mtoto amekaaje ni muhimu sana.

Kwa sababu una wasiwasi, nakushauri wahi hospitali wakufanyie yote na kukueleza ili ujue na kukaa na amani.

Nenda hosp hofu yako sio nzuri kukaa hivyo.

Nakutakia kila la kheri Mama Kijacho. Mbarikiwe
 
Nimefanya ultrasound Mara 4, tofauti kila moja inasema tarehe yke, nyingine tar 16:6, 1:7, 10:7 yaan haina ukweli

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app

Siku ya kwanza kuanza MP ya mwisho ilikuwa tarehe ngapi? Hesabu kuanzia hapo pia.

Wengi kwa kufata hiyo hata scan iweje wanakuwaga sawa.

Mara nyingi scan inategemeana muda huo ni je unaambiwa kutokama na size ya mtoto au vipee? Au unapewa size ya mtoto na katika wiki za tangu hiyo siku ya kwanza ya MP utofauti ukoje. Wakati mwingine wengine ufata size ila tatizo mtoto anaweza kuwa tumbonj mkubwa kuliko au mdogo kuliko.

Nenda hosp wakupime BP na kuangalia mtoto kakaaje kwanza. Na mpo salama
 
Amen my dear

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilijifungua na week 42, baada ya kukaa hospitali wiki nzima. .
Nilikuwa sina uchungu, njia haikufunguka hata

Ushauri wangu beba virago vyako, nenda hospitali mama. . Na husirudi bila mwanao mikononi. . Mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…