Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
Hi JF members,
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3 na wiki kadhaa lakin chunusi zimemtoka usoni (vichunusi vidogo vidogo lakni vingi), na hii ndio mimba yake ya kwanza.
Kabla ya ujauzito usoni alikua soft uson, je akijifungua zitaisha zenyewe?
Je kipindi cha pre_natal stage wanawake wengi hutokewa na hali hii?
Je ni mafuta gani anaweza tumia ili kuondoa hali hii but yasiwe na chemical.
NB: Hii ni kwa wanaojua tu, kama hujui soma kimya kimya comment za wenzako ili nawe ujifunze.