Uje na vifaa vya kujifungulia.,Jee hii ni sawa?

Puyugu 01

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
573
Reaction score
455
Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka hivyo.

Ktk mambo tuliyofanyiwa na kushauriwa kwa maendeleo ya kijacho kuna baadhi yalituacha mdomo wazi kidoga, sasa sijui ni kwa7bu ya ugeni wetu ktk jambo hili au laa, lkn pamoja na ugeni, mboni mimi sioni uhalali wake?!!.

Bila kupoteza muda, jambo lenyewe lililotuacha mdomo nje ni hili hapa: tuliambiwa siku ya kujifungua ikifika ya mpendwa wangu anatakiwa aende na:-
1.Mpira wa kujifungulia.
2.Grops
3.Nyembe
4.Khanga doti 5
5.Beseni
6.Ndoo
7.Bandage na mkasi.

Jee, nikweli tunatakiwa tupeleke vitu vyote hivi hospital jamani?!!.
 
Elimu bure wakina mama wazee na watoto matibabu bure.
Cc: ccm mbele kwa mbele. Aka kuisoma namba
 
Khanga hazitakiwi ziwe mpya bali zile zilizotumika kwasababu zinakuwa laini.
Lakino dot 5 mbona nyingi sana!
Bandage, mipira ,mkasi na gloves hospital wanatakiwa wawe nazo.
 
Dot 5 ni sawa abebe tu zitatumika zote.. na sio lazima ziwe mpya, tena itapendeza zaidi kama vikiwa vitenge, ndoo na beseni nazo sawa kwa vihospitali vyetu vidogo, ila habari za mkasi,gloves,bandage na wembe ni kuoneana.. ila kwa usalama wake aende navyo tu anaweza kufika akakuta havipo kweli ndo bongo yetu hii..
 
Sawa.
 
Ndio Hali iliyokuwepo Wala siuongo, tena ukikakiribia ile miezi ya kujifungua unaandaa begi lako unapaki kila kitu Uchungu ukiaza linanyanyuliwa kama lilivyo kwenda hospital ukifika cha kwanza wanaulizia begi liko wapi?
 
Nimecheka hadi ushuzi umenitoka.
 
Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka hivyo.

Ktk mambo tuliyofanyiwa na kushauriwa kwa maendeleo ya kijacho kuna baadhi yalituacha mdomo wazi kidoga, sasa sijui ni kwa7bu ya ugeni wetu ktk jambo hili au laa, lkn pamoja na ugeni, mboni mimi sioni uhalali wake?!!.

Bila kupoteza muda, jambo lenyewe lililotuacha mdomo nje ni hili hapa: tuliambiwa siku ya kujifungua ikifika ya mpendwa wangu anatakiwa aende na:-
1.Mpira wa kujifungulia.
2.Grops
3.Nyembe
4.Khanga doti 5
5.Beseni
6.Ndoo
7.Bandage na mkasi.

Jee, nikweli tunatakiwa tupeleke vitu vyote hivi hospital jamani?!!.
Ni sawa hospitali hushauri hivyo sababu unajua uchungu unaweza kumpata mtu sehemu yoyote ile,Kwa mfano yupo kwenye daladala na contraction zishafika mwisho,akiwa hivyo inakuwa rahisi Kwa mtu yeyote anaejua kuzalisha Kwa kawaida kumzalisha na kumfikisha hospitali,Kwa matibabu Zaidi so usishangae ata za private nao wanashauri hivyo..
 
Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka hivyo.

Ktk mambo tuliyofanyiwa na kushauriwa kwa maendeleo ya kijacho kuna baadhi yalituacha mdomo wazi kidoga, sasa sijui ni kwa7bu ya ugeni wetu ktk jambo hili au laa, lkn pamoja na ugeni, mboni mimi sioni uhalali wake?!!.

Bila kupoteza muda, jambo lenyewe lililotuacha mdomo nje ni hili hapa: tuliambiwa siku ya kujifungua ikifika ya mpendwa wangu anatakiwa aende na:-
1.Mpira wa kujifungulia.
2.Grops
3.Nyembe
4.Khanga doti 5
5.Beseni
6.Ndoo
7.Bandage na mkasi.

Jee, nikweli tunatakiwa tupeleke vitu vyote hivi hospital jamani?!!.
Hi
Ni bora ukawa na vifaa vyako ulivyotajiwa kuliko siku ifike ukaambiwa hakuna vifaa maana gvt muda wowote unaambiwa hakuna vifaa sababu ni kuwa vifaa vinavoagizwa nivichache au vinavyotolewa nivichache kuliko idadi ya watumiaji ni ushauri tuu mfano mzuri sikiliza bunge utajua kwanini bajeti ikipitishwa mil 900 kwenda jimbo fulani baadae utasikia kuwa ilienda mil 200 au 300 hili bado ni tatizo usilaumu mtu ila kwa usalama wa mkeo bora ununue vifaa vyako uwe na uhakika na kinachoenda kufanyika ushauri tuu
 
Ndio Hali iliyokuwepo Wala siuongo, tena ukikakiribia ile miezi ya kujifungua unaandaa begi lako unapaki kila kitu Uchungu ukiaza linanyanyuliwa kama lilivyo kwenda hospital ukifika cha kwanza wanaulizia begi liko wapi?
Duuuh
 
Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka hivyo.

Ktk mambo tuliyofanyiwa na kushauriwa kwa maendeleo ya kijacho kuna baadhi yalituacha mdomo wazi kidoga, sasa sijui ni kwa7bu ya ugeni wetu ktk jambo hili au laa, lkn pamoja na ugeni, mboni mimi sioni uhalali wake?!!.

Bila kupoteza muda, jambo lenyewe lililotuacha mdomo nje ni hili hapa: tuliambiwa siku ya kujifungua ikifika ya mpendwa wangu anatakiwa aende na:-
1.Mpira wa kujifungulia.
2.Grops
3.Nyembe
4.Khanga doti 5
5.Beseni
6.Ndoo
7.Bandage na mkasi.

Jee, nikweli tunatakiwa tupeleke vitu vyote hivi hospital jamani?!!.
Ndugu yangu sio sheria ila ni utaratibu mzuri wanaotumia wauguzi kuwaandaa wamama kujifungua.Mimi watoto wangu wote wako 8 nilinunua lakini sijawahi kuvitumi kwa sababu huwa nanunua lakini siwapi nikimpeleka mke wangu namwambia usiwape na wakikudai sema unanipigia nivilete nitakuwa karibu.

Ushauri wangu vinune kwa ajili ya dharura maana huenda siku anaenda kujifungua kweli akavihitaji.Huwa inatokea sana
 
Noted mkuu.
 
Hiyo naiona dar tu mkewangu kajifungua mkoani hayo makitu karudi Nayo home. Ali nunua wakati yupo bandari salama. Inaonekana dar kuna uhaba wa vifaa
 
Back
Top Bottom