Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
We ni falaa hahahaNimecheka hadi ushuzi umenitoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni falaa hahahaNimecheka hadi ushuzi umenitoka.
NdioMkasi na wembe[emoji15] [emoji15] kuna kuchanana nyuchi nini???
DuhNdio
Acha utoto kijana....mimba uweke bure....huduma ya kujifungua unataka bure tena!mbona kwenye kuiweka hiyo mimba hukuomba ushauri/msaada?Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka hivyo.
Ktk mambo tuliyofanyiwa na kushauriwa kwa maendeleo ya kijacho kuna baadhi yalituacha mdomo wazi kidoga, sasa sijui ni kwa7bu ya ugeni wetu ktk jambo hili au laa, lkn pamoja na ugeni, mboni mimi sioni uhalali wake?!!.
Bila kupoteza muda, jambo lenyewe lililotuacha mdomo nje ni hili hapa: tuliambiwa siku ya kujifungua ikifika ya mpendwa wangu anatakiwa aende na:-
1.Mpira wa kujifungulia.
2.Grops
3.Nyembe
4.Khanga doti 5
5.Beseni
6.Ndoo
7.Bandage na mkasi.
Jee, nikweli tunatakiwa tupeleke vitu vyote hivi hospital jamani?!!.