LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,470
- 972
Saafi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni munisaidie ukubwa na namna ya kujenga banda zuri la kisasa ambalo linaweza kkufuga aina yoyote ya kuku (kisasa au kienyeji).
Nataraji kuanza na kuku wa kienyeji. Je, nianze na kuku wakubwa au vifaranga? Wangapi?
Ntashukuru kwa ushauri wenu maana naona kweli JF ni mkonbozi na nimeamua kuanza ufugaji mara baada ya kupitia nyuzi mbali mbali zenye kuhamasisha, hongereni kwa nyote mulioanzisha mada na maelezo jinsi faida inavyopatikana.
Majibu kutoka kwa wanaJF
==========

VIPI KWA MIMI NINAE TAKA KUFUGA KUKU ZAIDI YA MIA ALAFU NISEHEM YENYE WATU WENGI...Kwa kuku wa kienyeji.....ufugaji mzuri ni wa nusu huria kwa maana ya usiku wanalala bandani mchana nje.
Kwa kuanzia vyumba vitatu: 1: mita 3 (kuku wanaoanzia miezi 2 na kuendelea) 2: mita 2 (kwa mitetea wanaoatamia) 3: mita 2 (kwa ajili ya vifaranga ambao watahifadhiwa kwa kutumia joto, liwe la umeme, maji ya moto kwenye dumu n.k).
Linatakiwa kuwa na madirisha mbele yenye ukubwa kama wa futi 2 kwa kila chumba na mlango unaokuwezesha kuingia bila vikwazo..............Urefu wa banda kama mita 3 tu zinatosha kwa maana kwamba unaweza kuingia na kufanya usafi bila tatizo.
Kumbuka kuku ni ndege kwa hiyo unaweza kupitisha fito pembeni ili wanaotaka kulala wamening'inia wasipate shida. Chini weka pumba za mpunga au maranda ya mbao kuabsorb kinyesi ili kupunguza bakteria.
Kwa sababu ni wa kienyeji nje ya banda unazungushia uwa wa waya ili wasitoke lakini wapate nafasi ya kufanya mazoezi, na kula. Banda la aina hii lina uwezowa kuchukua kuku 300.
Naombeni munisaidie ukubwa na namna ya kujenga banda zuri la kisasa ambalo linaweza kkufuga aina yoyote ya kuku (kisasa au kienyeji).
Nataraji kuanza na kuku wa kienyeji. Je, nianze na kuku wakubwa au vifaranga? Wangapi?
Ntashukuru kwa ushauri wenu maana naona kweli JF ni mkonbozi na nimeamua kuanza ufugaji mara baada ya kupitia nyuzi mbali mbali zenye kuhamasisha, hongereni kwa nyote mulioanzisha mada na maelezo jinsi faida inavyopatikana.
Majibu kutoka kwa wanaJF
==========
Mkuu tupe mrejesho,vipi ulifanikiwa na ile biashara ya Kuku?Naombeni munisaidie ukubwa na namna ya kujenga banda zuri la kisasa ambalo linaweza kkufuga aina yoyote ya kuku (kisasa au kienyeji).
Nataraji kuanza na kuku wa kienyeji. Je, nianze na kuku wakubwa au vifaranga? Wangapi?
Ntashukuru kwa ushauri wenu maana naona kweli JF ni mkonbozi na nimeamua kuanza ufugaji mara baada ya kupitia nyuzi mbali mbali zenye kuhamasisha, hongereni kwa nyote mulioanzisha mada na maelezo jinsi faida inavyopatikana.
Majibu kutoka kwa wanaJF
==========
Mimi nilikopi hili......nikalipanua zaidi......wamedumbukia 500
![]()