Ujenzi bora wa mabanda ya kufugia kuku wa kisasa na kienyeji

I love JF, Kuzaliwa masikini sio kosa lako ila kufa masikini ni kosa lako.
 
nimeipenda. wazo ninalo muda mrefu, na vyumba ninavyo muda mrefu. Tatizo watalamu wanazingua, nilimualika mtaalamu mmoja, mpaka leo naedelea kumsubiri
 
Nawashukuluni xaana tena saana kwa ushauli wena jnvi la jf.niko najpanga hdi kifikia mnamo mwez wa 6 takuwa nimeanza ufgaji wa kk wa kienyeji
 
Kaka naomba upost hilo banda lako niweze kuona jinsi ulivyo lipanua na kukuwezesha kuwaingiza kuku 500. Plss msaada wko kk.
 

kaka vipi kuhusu kuku wa kienyeeji kuwafuga katika mtindo wa ufugaji wa kuku wa kisasa yaani eneo langu halitoshi kuwaacha wazurule nataka kuwajengea banda washinde humo niwapatie chakula na mahitaji yao wakiwa ndani taratibu zake zinakuwaje ili waweze kjongeza uzalishaji na pia kuwatofautisha wanaotaga na wasiotaga na vifaranga vidogo,eneolangu halijafikiwa na huduma ya umeme pia
 

samahani mkuu hilo banda kama hilo mizengo pinda anaonyesha hapo naweza kupata wapi?
 
Hapa tumefaidi wengi - nijuzeni mnafanya vipi kuzuia wazi na vibaka
 
VIPI KWA MIMI NINAE TAKA KUFUGA KUKU ZAIDI YA MIA ALAFU NISEHEM YENYE WATU WENGI...
 

Asante kwa kunielemisha nami.
 
Mkuu tupe mrejesho,vipi ulifanikiwa na ile biashara ya Kuku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…