Ujenzi huu utanigharimu Tshs ngapi?

Ujue wao wameijenga kwa milioni tatu mpaka nne.

Au yawezekana ni ndogo sana ukiweka kitanda tu chumba kinajaa.
 
Sawa PTER, inawezekana lakini kwenye suala la vyumba vya kulala nadhani kuna standard accepted vipimo inapokuja kwenye hizi nyumba za kuuza yaani za biashara
 
Ndiyo maana nilimwambia kwa nyumba hiyo anayotaka kujenga haitavuka millioni tano.

And probably ikizidi sana milioni 4+.
 
Naomba namba yao ya simu tafadhali Sana! Ahsante na Mungu akubariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…