Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ujue wao wameijenga kwa milioni tatu mpaka nne.Hapa ndipo confusion inapo anzia! Juzi nimeongea na kampuni moja ya REAL ESTATE (baada ya kusikia tangazo lao redioni) wanauza nyumba ya vyumba viwili, jiko, choo na sebule ikiwa huko Mwasonga kwa Shilingi 5.5 Milioni! Hii imekaaje wataalamu wangu wa JF!?
Au yawezekana ni ndogo sana ukiweka kitanda tu chumba kinajaa.