Hawajui kuwa hata nondo, mchanga, kokoto hupelekwa maabara na vipimo vyake ni ghali sanaIla kumbuka huwez jenga nyumba ya taasisi ukasupervise kama yako, hii inaenda na wataalam, tofali hadi upeleke maabara, zege pia, i bet kwa construction process halisi zikifuatwa hii nyumba inafika 110mil.
Kumbuka kila kitu kinatakiwa kiwe standard
You are right.Ila kumbuka huwez jenga nyumba ya taasisi ukasupervise kama yako, hii inaenda na wataalam, tofali hadi upeleke maabara, zege pia, i bet kwa construction process halisi zikifuatwa hii nyumba inafika 110mil.
Kumbuka kila kitu kinatakiwa kiwe standard
Mi naomba kuuliza kwanini majengo yote ya serikali yasiwe yanafanana? Kama ni ofisi ya TAKUKURU yafanane nchi nzima. Kama ni la hamlashauri hivyi hivyo. Kwa nini kila wilaya/mji majengi ya ofisi ya taasisi moja hayafanani?Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.
Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya million 90 na kama gharama za vifaa, mchanga na cement eneo husika zipo juu kufika mill 100 sioni ajabu kwa upande wangu.
Karibuni mafundi kwa majadiliano. View attachment 1514090
35Haivuki ml 45
Hii imezidi sana bila ya bei ya kiwanja ni milioni sabiniKaribuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.
Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya million 90 na kama gharama za vifaa, mchanga na cement eneo husika zipo juu kufika mill 100 sioni ajabu kwa upande wangu.
Karibuni mafundi kwa majadiliano. View attachment 1514090
mm siwezi tetea uizi, dodoma naielewa vizuri sana, zungukaaa maneno mia ila hiyo nyumba haiko na viwango tajwa. na mm pia nimejenga nyumba nzuri sana yenye hadhi kwa thamani ndogo tu..ndani ipo full, huwezi linganisha na hiyo kwa thamani yenuHujui lolote mkuu na ukubali hilo.
Hiyo ni nuumba ya serikali huwezi kujenga kwa gharama hiyo.
Dodoma baadhi ya vifaa vya msjenzi ni ghali sana tofauti na dar.
Pili hivi unajua hiyo gharama ni pamoja na thamani zake za ndani?
Unajua kuna vyumba vingapi?
Unajua wamerumia tofali za gade gani?
Unajua tofali zimelazwa au kusimamishwa?
Unajua marumaru zimetolewa wapi...Spanish au India?
Tujifunze kuhukumu kwa haki wakuu
Mkuu ujenzi wa serikali huendagi hivyo.Hiyo nyumba tuseme kupaua ni milioni 10
Msingi na jamvi milion 10.
Kupandisha tofali juu milion 10
Finishing milion 15
Ziada milini 10.
Jumla milioni 55!
Magu yupo sahihi hapo pana upigaji!
Kwa hiyo hela milioni 143 ilitakiwa zitoke nyumba kama hizo 3
39.5 ml45ml.
Mkuu unajitetea sana .Huku mtaani hata kama hatukusoma lakini majengo ya serikali hasa yaliyojengwa miaka ya hivi karibu ni majengo yenye ubora duni sana. Kwenye hilo la Takukuru kuna shida hapo.Ila kumbuka huwez jenga nyumba ya taasisi ukasupervise kama yako, hii inaenda na wataalam, tofali hadi upeleke maabara, zege pia, i bet kwa construction process halisi zikifuatwa hii nyumba inafika 110mil.
Kumbuka kila kitu kinatakiwa kiwe standard
Sasa kama msingi na jamvi tufanye mil 10,kwenda na tofali mpaka lenta mil 10,lenta na tofali za juu mil5,roofing mil 10,gypsum na rangi mil 10,tiles na umeme mil 10,mfumo wa majitaka mil10,finishing nje mil 10.unapata mil 75,hapo nimekadilia tu kwa kiwango cha pesa ambacho ni juu sana,sasa hizo mil 143 kwa nyumba ya kawaida sana kama hiyo unanunua material gani ya ajabu?,wizi tu hapo.Hiyo Nyumba kwa thamani ya ml.90 inaweza kufika. Maana msingi pamoja na jamvi si chini ya ml 10.
Du, Takukuru wanajua kutafuna kuku!Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.