Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Je hii 300 x 150 x 100 inayouzwa TZS 500/= ni sehemu gani ya tofali la kawaida la Block linalouzwa TZS 800/=??Kuhusu gharama za tofali hizi naona kama hazina bei ambayo ni constant, kuna wengine jimeona wanaziuza 500 kwa tofali moja lenye ukubwa wa 300mm x 150mm x 100m, gharama za udongo na cement ikiwa juu yao wewe unafyetuliwa tofali zako hapohapo site