Mkuu nipe location kamili ya hicho kiwanda cha wizara ujenzi, nashida sana na machineUkitoka Mlimani city kwenda Mwenge baada ya petrol station ya Oil com kuna kiwanda cha Serikali/Wizara ya ujenzi hizo tofari zimejaa tele unabeba tu bei ni TZS. 500 kwa moja au wapigie Ujenzi empire 0716 023 456 karibu
Ukitokea mwenge baada ya petrol station ya Puma kama unakwenda mlimani city au wanapochonga vinyago round about ni upande wa kulia fensi yao wamejenga kwa kutumia hizo tofari, wamepakana na Oil com petrol stationMkuu nipe location kamili ya hicho kiwanda cha wizara ujenzi, nashida sana na machine
Ujenzi empire machine zao ghali sanaa
Iko katikati ya Oilcom petrol station na hospital ya jeshiUkitokea mwenge baada ya petrol station ya Puma kama unakwenda mlimani city au wanapochonga vinyago round about ni upande wa kulia fensi yao wamejenga kwa kutumia hizo tofari, wamepakana na Oil com petrol station
Ok sawa, nimepajuaUkitokea mwenge baada ya petrol station ya Puma kama unakwenda mlimani city au wanapochonga vinyago round about ni upande wa kulia fensi yao wamejenga kwa kutumia hizo tofari, wamepakana na Oil com petrol station
Mkuu asante sana kwa taarifa murua, umeokoa jahazi. Nitawatafuta japo mimi nataka nijenge shinyangaUkitoka Mlimani city kwenda Mwenge baada ya petrol station ya Oil com kuna kiwanda cha Serikali/Wizara ya ujenzi hizo tofari zimejaa tele unabeba tu bei ni TZS. 500 kwa moja au wapigie Ujenzi empire 0716 023 456 karibu
Ukitoka Mlimani city kwenda Mwenge baada ya petrol station ya Oil com kuna kiwanda cha Serikali/Wizara ya ujenzi hizo tofari zimejaa tele unabeba tu bei ni TZS. 500 kwa moja au wapigie Ujenzi empire 0716 023 456 karibu
Angalia hapa wana hizi mashine #7Mkuu nipe location kamili ya hicho kiwanda cha wizara ujenzi, nashida sana na machine
Ujenzi empire machine zao ghali sanaa
Ngoja nitawacheki keshoooAngalia hapa wana hizi mashine #7
Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini
WAJASIRIAMALI hongereni kwa kuufikia mwaka 2021 mkiendelea na mapambano kama ni miongoni unatafuta mashine au taarifa zake karibu tupo tutakusaidia Jorina store lolote zaidi call/sms/whatsapp 0763542515 Tabata na ubungo riverside Instagram Jorina store Mashine hizi zifuatazo ndio...www.jamiiforums.com
Hapo ndipo haya ya kuchomewa vifaranga yalipo, watu wanaenda extra mile wao wanakuja kukuharass, watanzania ssometime tuna uzembe asee..!... Kenya wanaifanya sana hii kazi sijui tufuate mafundi huko? halafu tukiwaleta tz makandarasi wanaanza kulalamika, ...
Safi sana mkuu hizi ndio taarifa ninazozihitaji, magereza ya wapiMagereza Leo wamenipa Bei.Ukitaka kupigia site Kama una udogo unaofaa sh 300/=,ukinunua zilizo tayari kwao sh 500/= usafiri juu yako.
Akijibu nitagSafi sana mkuu hizi ndio taarifa ninazozihitaji, magereza ya wapi
jamaa anasema kwamba ujenzi huu ni gharama kubwa, hajatuambia inatofautiana kiasi gani vs ujenzi wa kawaida?Ninachopendea baadhi ya design za interlocking blocks ni kwamba zina mwonekano mzuri, hata bila finishing inapendeza.
Pia ukiwa na tofali za kutosha, hata wiki mbili haziishi nyumba unahamia.
Zaidi ya hayo, zinapunguza sana drama za fundi ujenzi na zinasaidia makisio sahihi ya ujenzi wa Boma
Magereza Ukonga au Magereza ipi Mkuu?Magereza Leo wamenipa Bei.Ukitaka kupigia site Kama una udogo unaofaa sh 300/=,ukinunua zilizo tayari kwao sh 500/= usafiri juu yako.
Kumbuka hizi tofali zina dimension tofauti tofautiNgoja nichangie hili coz lipo ndani ya uwezo wangu ndugu zangu tusidanganyike ujenzi wa wa hivi vitofali ni gharama mno kuliko ujenzi wa kawaida kwanza size ya tofari unayonunua 500 inabidi upate vitofari vi 3 kufikia size ya tofali moja la kawaida mfano nyumba ya vyumba vitatu kimoja master +dining +kitchen+siting room utatumia si chini ya vitofali 10000 wakati kwa kawaida ni tofali 4000 au 3500 sasa piga bei ya 500x10000 then piga kwa tofali la kawaida kwa bei ya 1000 kila tofali x4000
Kumbuka kwenye msingi utaweka tofali za kawaida na utatumia cement ya kujengea kabisaKumbuka hizi tofali zina dimension tofauti tofauti
Kuna Dimension hizi
1. 250mm x 125mm x 62.5mm
2. 250mm x 125mm x 65mm
3. 250mm x 125mm x 70mm
4. 250mm x 125mm x 72.5mm
5. 300mm x 150mm x 70mm
6. 300mm x 150mm x 75mm
7. 300mm x 150mm x 110mm
8. 300mm x 150mm x 140mm
Kwahiyo choice ni yako. Kuanzia namba tano mpaka namba 8 hizo size zimepishana kidogo sana na hizo tofali zetu tulizozizoea mtaani. Ila kama unataka muonekano mzuri sana hizi tofali ndogo zitakufaaa
Tukija kwenye mchanganuo hizi tofali huwa zinafidia gharama zingine kama plaster, skimming, rangi. Pia ni ujenzi wake hauna mambo mengi mfano badala yakukata ukuta uweke bomba za wire au maji hizi hutokata bali utapitisha kwenye yale matundu
UkongaMagereza Ukonga au Magereza ipi Mkuu?