Ujenzi kwa tekinolojia ya hydraform ni bora na madhubuti.

Ujenzi kwa tekinolojia ya hydraform ni bora na madhubuti.

MGASON

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
65
Reaction score
35
Wadau leo hii nawaletea habari njema kwa wale watakao itaji ujenzi imara hapa Tanzania kuna kampuni ya wasauth africa wao hutengeneza mashine za Hydraform zinazotengeneza aile tofali zakupanga.nimezitumia kujengea nyumba yangu hapa Dar trust me ni tofali imara zaidi yanilivyokuwa nikitegemea ila tu tatizo nililoligundua wapo jamaa wengi wanaouza hizi tofali hapa mjini hivyo kuna baadhi yao wanachakachua ratio kama ukiitaji jaribu kuwatafuta mawakala wao wapo hapa Dar kuna jamaa alinielekeza ofisi zao maeneo ya mbezi beach jamaa wako vizuri wanauza mashine nakusimamia ubora wa tofali zao.nimeona niwasilishe wadau tusiangaike kujenga kwa ghalama kubwa na maisha yenyewe ndiyo haya...sina namba zao but face book wana accaunt inaitwa Hydraform Tanzania..
 
Mbezi ipi mkuuu na bei yao ikoje na unaweza kutusaidia contact zao
 
Mkuu hujatusaidia bado. Ungeweka gharama uliyonunulia hiyo mashine na mchanganuo japo kidogo ilitujue kweli ni gharama ndogo ukitumia hiyo teknolojia.
 
Mbezi ipi mkuuu na bei yao ikoje na unaweza kutusaidia contact zao

tofali wao wanauza sh 600 kwa inch 9 transport ya tofal ni juu yako,pia kuna mashine za hydraform zinaanzia dollar 18,000 nakuendelea kulingana na aina ya mashine husika..
 
Piga namba 0767338767 utapata tofali za hydraform za kiwango. Hawa wako kibamba kwa Mangi barabarani karibu na kituo cha maji. DAWASCO. Kila chumba kinatumia wastani wa tofali 800 za inch 9 kwa 5.
 
Back
Top Bottom