MGASON
Member
- Nov 19, 2011
- 65
- 35
Wadau leo hii nawaletea habari njema kwa wale watakao itaji ujenzi imara hapa Tanzania kuna kampuni ya wasauth africa wao hutengeneza mashine za Hydraform zinazotengeneza aile tofali zakupanga.nimezitumia kujengea nyumba yangu hapa Dar trust me ni tofali imara zaidi yanilivyokuwa nikitegemea ila tu tatizo nililoligundua wapo jamaa wengi wanaouza hizi tofali hapa mjini hivyo kuna baadhi yao wanachakachua ratio kama ukiitaji jaribu kuwatafuta mawakala wao wapo hapa Dar kuna jamaa alinielekeza ofisi zao maeneo ya mbezi beach jamaa wako vizuri wanauza mashine nakusimamia ubora wa tofali zao.nimeona niwasilishe wadau tusiangaike kujenga kwa ghalama kubwa na maisha yenyewe ndiyo haya...sina namba zao but face book wana accaunt inaitwa Hydraform Tanzania..