Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
- Thread starter
-
- #301
Sawa mkuu, tutaufanyia kazi ushauri.Mkuu
Chukua huu ushauri ungekuwa unapost picha za ramani na cost estimation za hiyo nyumba
Najua kuna factors kama eneo la ujenzi n.k jaribu kuli keep constant
Ila utatupa equivalent estimation hii itasaidia Kwa wale wanaopenda ramani kujipanga zaidi
Hapo kwenye corridor ..chumba cha kwanza mlango wake kutazamana na uwazi/mlango wa lounge rekebisha..visiwe vinatazamanaWakuu habarini, naomba tujadili kidogo, mnahisi ramani hii inahitaji maboresho ya namna gani kwa upande wa privacy. Kiwanja ni 15m x 20m. Nyumba ni 10x12m
View attachment 3058414
Ahsante sana mkuuKAZI TAMU SANA HIZI
Privacy ni muhimu kwenye nyumbaWakuu habarini, naomba tujadili kidogo, mnahisi ramani hii inahitaji maboresho ya namna gani kwa upande wa privacy. Kiwanja ni 15m x 20m. Nyumba ni 10x12m
View attachment 3058414
Fafanua mkuuPrivacy ni muhimu kwenye nyumba
Namaanisha watu kwenda vyumbani wasipite korido mojaFafanua mkuu