Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
- Thread starter
- #321
Ushauri mzuri, ila kuna wakati unapofanya design hususani za nyumba ambazo ni ndogo ni ngumu kuepuka baadhi ya privacy, mfano baadhi ya nyumba milango inafungukia sebuleni, kitu ambacho si kizuri. But anyway nyumba ikiwa kubwa zaidi chance ya privacy ni kubwa pia.Namaanisha watu kwenda vyumbani wasipite korido moja