Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
- Thread starter
-
- #321
Ushauri mzuri, ila kuna wakati unapofanya design hususani za nyumba ambazo ni ndogo ni ngumu kuepuka baadhi ya privacy, mfano baadhi ya nyumba milango inafungukia sebuleni, kitu ambacho si kizuri. But anyway nyumba ikiwa kubwa zaidi chance ya privacy ni kubwa pia.Namaanisha watu kwenda vyumbani wasipite korido moja
97%Hello everyone!
Hii ni proposal ya nyumba ya vyumba vinne, sebule, jiko, sehemu ya kulia na store.
Designer: Nile house designs.
Unaipa marks ngapi kati ya 100?
View attachment 1748724View attachment 1748725View attachment 1748733
View attachment 1748736View attachment 1755264]
Shukrani sana mkuu
I wish ningeiona hiyo post kabla sijaanza ujenzi, iko poa sana mkuu.Shukrani sana mkuu
Save link mkuu, kwa matumizi ya baadaeI wish ningeiona hiyo post kabla sijaanza ujenzi, iko poa sana mkuu.
Nimeipenda sana design hii. Hongera kazi nzuriKaribu NILE HOUSE DESIGNS kwa huduma za finishing, interior and exterior designs, Renovation services, land scaping pamoja na utayarishaji wa Raman na ujenzi wa majengo yote kwa ujumla wake(ya makazi,ya kibiashara na yale ya kijamii).
Call/whatsapp 0715477041 kwa maelezo zaidi.
View attachment 3138773View attachment 3138774