Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 483
- 544
- Thread starter
-
- #361
TANGAZO LA OFA MAALUMU
👉 Punguzo la Kipekee la 30% kwa Ramani za Nyumba! Mwezi huu wa kufunga mwaka👈
Unatafuta ramani ya nyumba ya kisasa inayolingana na ndoto zako? Hii ndiyo nafasi yako ya pekee! Pata ramani za nyumba bora na za kuvutia kwa bei ya punguzo la 30%.
✅ Ramani za nyumba ndogo, za kati, na kubwa
✅ Ubunifu wa kisasa na unaolingana na mahitaji yako
✅ Ushauri wa bure kutoka kwa wataalamu wetu
📅 Muda wa Ofa: Kuanzia sasa hadi tarehe 20 mwezi wa 12.
wasiliana nasi kupitia:
📞 [Namba ya simu:: +255715477041 ]
📧 [Barua pepe ;; nilehousedesigns@gmail.com]
💻 [ Instagram, X/Twitter @nilehousedesigns
Hakikisha unachukua hatua leo na uibadilishe ndoto yako kuwa kweli!
Usikubali nafasi hii ya kipekee ikupite!
Bei ya ramani inaanzia Tsh ngapiBlue Monday, karibu tukuhudumie, msimu huu wa sikukuu tupo na ofa maalum kwa ajili yako,
Let us transform your design idea into reality!!
Call/WhatsApp 0715477041.
Bei inaanzia 150,000 mkuu, kikubwa bei inategemea aina ya nyumba na ukubwa wake lakini pia kuna huduma za ziada kama makadilio, kutembelea site, aina ya michoro inayohitajika. I.e chuma, umeme, maji + other services.Bei ya ramani inaanzia Tsh ngapi
Pole sana mkuu, paua kawaida tuubado mafundi wetu wa kibongo hawajawa wazoefu wa kujenga design hiyo ya nyumba, nimehangaika sana, kila ninaye mjaribisha ni magumashi tu
Sent using Jamii Forums mobile app