UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs
nile -14.PNG

Service UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs

$1,000.00 to $10,000.00
UJENZI: let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram).

Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako.

Kwa bei poa kabisa utapata design yako

Baadhi ya kazi zetu

Affordable price

View attachment 1760377
View attachment 1760376

tupigie /WhatsApp ## 0715477041

Drawings can be adjusted to meet client's ideas

(michoro yaweza rekebishwa kukidhi matakwa ya mteja)

## picha zote zimetengenezwa na nile house design ( no copied images)

View attachment 1699651View attachment 1699654
Ni gharama tu lakini nyumba zenye mapaa zinapendeza.
 
Kwahiyo hizi za style hii zinamaintainance za mara kwa mara au sijaelewa mtaalamu?
Ndio, nazungumzia upande wa rangi ya nje, ili nyumba ieendelee kupendeza itakubidi uipake rangi kila baada ya miaka 4, lakini kwa hizo nyingine waweza vuka hadi 6 na zaidi na ikawa haijaathirika sana
 
Mimi naomba kuuliza swali.....
Hivi hizi nyumba zipo kweliiii au computer design halafu mnatuwekea humu
Kwa nini huwa hamuonyeshi uhalisia rather than hizi za copy n paste

Nauliza tu nipate kufahamu..
Muweke mlizojenga basi tuone na kusifu kazi za mikono yenu khe
 
Mkuu una maana gani unaposema copy and paste, ukiona ina logo yetu, jua ni design yetu huwezi ipata popote, pitia pages za huu uzi kuna kazi zilizokamilika na zinazoendelea utaziona. Thanks.
 
Mkuu una maana gani unaposema copy and paste, ukiona ina logo yetu, jua ni design yetu huwezi ipata popote, pitia pages za huu uzi kuna kazi zilizokamilika na zinazoendelea utaziona. Thanks.
Ziko wapi hizo mlizojenga kwani mmeanza juzi kati mbona thread hii ya kitambo
Ndio maana tunahisi ni copy n paste hakuna uhalisia
Kuweni wazi
 
Ziko wapi hizo mlizojenga kwani mmeanza juzi kati mbona thread hii ya kitambo
Ndio maana tunahisi ni copy n paste hakuna uhalisia
Kuweni wazi
Duh, mkuu huna evidence na unashutumu, kwenye huu uzi tumebase na kutangaza michoro ya nyumba tuliyotengeneza, hivyo mtu akivutiwa na uwezo wetu anatutafuta tunamtengenezea design kulingana na matakwa yake. Hatujabase na kuomba kazi za ufundi,

Nakupa task, pitia uzi wote na ukiona kazi yoyote iliyokopiwa sema.

Na pia jitahidi kuheshimu kazi za watu, ukiona jambo huliwezi wewe na jamii yako inayokuzunguka usifikiri haliwezekani kwa kila mtu.

Karibu tukuhudumie upate design nzuri ili ukionesha rafiki zako waseme ni ya kuokota mtandaoni.
 
Get inspired

Karibuni sana!!

Call/WhatsApp 0715477041

 
Mimi nauliza wakubwa, studio apartments nne zinatosha kwenye kiwanja chenye ukubwa gani na parking walau ya gari ndogo tatu ikabaki?
 
Back
Top Bottom