Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
- Thread starter
-
- #141
Ni gharama tu lakini nyumba zenye mapaa zinapendeza.UJENZI: let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram).
Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako.
Kwa bei poa kabisa utapata design yako
Baadhi ya kazi zetu
Affordable price
View attachment 1760377
View attachment 1760376
tupigie /WhatsApp ## 0715477041
Drawings can be adjusted to meet client's ideas
(michoro yaweza rekebishwa kukidhi matakwa ya mteja)
## picha zote zimetengenezwa na nile house design ( no copied images)
View attachment 1699651View attachment 1699654
Exactly, ni nzuri zaidi na hazina maintenance za kila wakatiNi gharama tu lakini nyumba zenye mapaa zinapendeza.
Kwahiyo hizi za style hii zinamaintainance za mara kwa mara au sijaelewa mtaalamu?Facility
- lounge
- two bedrooms
- open kitchen
- store
- public toilet
Area = 80m²
Design can be modified to fit client's requirements.
You are welcome!!View attachment 2144706View attachment 2144707View attachment 2144708
Ndio, nazungumzia upande wa rangi ya nje, ili nyumba ieendelee kupendeza itakubidi uipake rangi kila baada ya miaka 4, lakini kwa hizo nyingine waweza vuka hadi 6 na zaidi na ikawa haijaathirika sanaKwahiyo hizi za style hii zinamaintainance za mara kwa mara au sijaelewa mtaalamu?
Kametulia...kama million ngapi kanakula haka kamunyumba?Facility
- lounge
- two bedrooms
- open kitchen
- store
- public toilet
Area = 80m²
Design can be modified to fit client's requirements.
You are welcome!!View attachment 2144706View attachment 2144707View attachment 2144708
Ziko wapi hizo mlizojenga kwani mmeanza juzi kati mbona thread hii ya kitamboMkuu una maana gani unaposema copy and paste, ukiona ina logo yetu, jua ni design yetu huwezi ipata popote, pitia pages za huu uzi kuna kazi zilizokamilika na zinazoendelea utaziona. Thanks.
Duh, mkuu huna evidence na unashutumu, kwenye huu uzi tumebase na kutangaza michoro ya nyumba tuliyotengeneza, hivyo mtu akivutiwa na uwezo wetu anatutafuta tunamtengenezea design kulingana na matakwa yake. Hatujabase na kuomba kazi za ufundi,Ziko wapi hizo mlizojenga kwani mmeanza juzi kati mbona thread hii ya kitambo
Ndio maana tunahisi ni copy n paste hakuna uhalisia
Kuweni wazi
Mimi nulikupongeze kiongozi. Nimepata hiduma nzuri now naendelea mdogo mdogo kuipandiasha.Duh, mkuu huna evidence na unashutumu, .
Minimum recommendation ni 600m²Mimi nauliza wakubwa, studio apartments nne zinatosha kwenye kiwanja chenye ukubwa gani na parking walau ya gari ndogo tatu ikabaki?
Oh sawa, ahsante sana bossMinimum recommendation ni 600m²