UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs
nile -14.PNG

Service UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs

$1,000.00 to $10,000.00
Sawa mkuu, kwa budget na picha sawa, lakini kuweka ramani ya nyumba sidhani kuwa ni sawa, kwa kuwa ramani zinauzwa,

Lakini kikubwa ni kuwa mahitaji hutofautiana kutokana na mtu na mtu, hivyo ni vyema kuwasiliana kwa ushauri zaidi.

Vitu vitakavyofanya bei zisilingane ni nature ya eneo husika, umbali wa eneo husika na kikubwa zaidi ni issue ya finishing atakayoitaka mteja. Hivyo kukadilia kwa ujumla ni changamoto kiasi
 
Apartment design,
2 bedrooms, one master
Lounge
Open kitchen
Common toilet

67.5 m² per each apartment


Call/whatsapp 0715477041
1_3%20-%20Photo.jpg
1_2%20-%20Photo.jpg
 
Back
Top Bottom