Hivi ulikuwa mradi wa serikali?Ina maana huu mradi ndio hauendelei tena au inakuwaje hasaaa??na serikali imeamua nini kuhusu huu mradi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ulikuwa mradi wa serikali?Ina maana huu mradi ndio hauendelei tena au inakuwaje hasaaa??na serikali imeamua nini kuhusu huu mradi??
Hivi ulikuwa mradi wa serikali?
Ni taasisi gani ilinunua eka moja kwa mamilioni ya fedha mitaa ya Kigamboni?Kwa kuelewa haraka haraka tu nadhani NSSF na hao Azimio kila mtu alitoa share hapo....sasa kilichotokea mpaka sasa naonaa bado haieleweki kabisaaaa...
Ni taasisi gani ilinunua eka moja kwa mamilioni ya fedha mitaa ya Kigamboni?
Angalia kucha zako.Hahahaha mkuu wangu Malila nnashindwa hata kuandika maana hawachelewi hawa hawa jamaa na sheria zao za mtandao...maswali yako mazuri sana,ni deal tu ila naonaa walikataaa....nimesikitika sanaa ule mradi kusimama aiseeee.....
hahahahaaaaaWanatugongea mademu zetu hapa Mwalusembe hadi basi
Wanatugongea mademu zetu hapa Mwalusembe hadi basi
He! ni kweli au jina tu!😳😳😳😳Ni mradi wa ujenzi wa nyumba takribani 7,000. Mradi huu ni ubia kati ya kampuni ya Azimio na NSSF.
Bw Iqbal ni mwenye eneo hilo na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Azimio.
Dkt Faustine Ndugulile
MB-Mbunge Kigamboni
itakuwa ni kweli maana wadau wamefukua makaburi baada ya kumsikia mzee baba. huu uzi wa kitambo. JF inabidi iheshimiweHe! ni kweli au jina tu!😳😳😳😳
HahaaaYale maeneo sio Tanzania, wewe ulipita kwa makosa nchi ya watu. Ukipita mara ya pili utaombwa visa.
Mkuu salama?