Reagan Carima
Member
- May 20, 2015
- 45
- 195
SureKujenga ni mkakati
Ni kweli lakini inategemea kwa mfano kuna nyumba unaweza kuijenga na kwenyw finishing ikawa haikutesi sana.Ujenzi unapoleta mushkeli ni kwenye finishing
Haswaaa na asilimi kubwa watu wanaanguka hapoKuna ile dhana umepata kiwanja kizuriii unasema kwa kuwa hichi kiwanja ni kuzuri najenga eneo hili sitaki nije bomoa tena nataka nijenge kitu cha moja kwa moja vyumba vya kutosha mfano vinne, hapo ndipo wengi wanapo anguka, unajenga vyumba vinne matokeo yake humalizi kwa wakati na bila malengo na kuendelea kukuongezea gharama, wakati ungejenga vyumba vitatu ingefaa tu na kumaliza na kuhamia kwa haraka
Umekuja na uzi mzuri, watu wapite hapa wapate uzoefu
Nah! We also need to hear from you.That's all?!!
Kwa mfano unakuta mtu ana hela sana prondo lakini bado anakaa nyumba ya kupanga hii tunasemaje ni maamuzi au hajawa na mpango mkakati, mimi na hisi mada ipo wazi imejielezea vizuri sana, kuwa ukitaka kujenga una kiasi chako hata kama ni kidogo anza, na nini cha kuzingatia ni kuangalia utamalizaje.That's all?!!
Nyumba ni nyumba mkuu,,,mradi unajisitiri na mapaka na Mbwa usidhurike...mengine ni mbwembwe tu...Ni kweli lakini inategemea kwa mfano kuna nyumba unaweza kuijenga na kwenyw finishing ikawa haikutesi sana.
Kuna nyumba nyingine ukishafika lenta ukiwa na 3M unamalizia ila nyingine inahitaji 30M hawa watu hawawezi kuwa sawa
Pia unaweza kujazia nyama kidogo kwa manufaa ya wengi, kutokana na uzoefu wako, mimi sikusahau ulinisaidiaga sana kwenye ule uzi big up, sio habaThat's all?!!
Hii ni kujisahau. Unapata hela unaweza kulipa Kodi popote unaona huna umuhimu wa kujenga 'nje' ya mji. Siku unashtukia mrija wa pesa umeziba ndio unaanza kujuta.Kwa mfano unakuta mtu ana hela sana prondo lakini bado anakaa nyumba ya kupanga hii tunasemaje ni maamuzi au hajawa na mpango mkakati, mimi na hisi mada ipo wazi imejielezea vizuri sana, kuwa ukitaka kujenga una kiasi chako nini cha kuzingatia.
Nilikuwa nawaza sana suala la ujenzi. Nikishaenda kwa architecture akanichorea ramani moja tamu sana ila nilipopiga hesabu nikagundua ile nyumba ili niikamilisha basi itanipasa kupambana na kuitesekea sio chini ya miaka 10.Umekuja na uzi mzuri, watu wapite hapa wapate uzoefu
Pana dada mmoja ukiangalia kodi anayolipa hapo anapokaa kama angeamuwa kupanga nyumba ya uswahilini bei nafuu basi angekuwa ameshaanza ujenziKwa mfano unakuta mtu ana hela sana prondo lakini bado anakaa nyumba ya kupanga hii tunasemaje ni maamuzi au hajawa na mpango mkakati, mimi na hisi mada ipo wazi imejielezea vizuri sana, kuwa ukitaka kujenga una kiasi chako nini cha kuzingatia.