Shida serikali zenye wapigaji Mchina anakufyatulia kitu kutokana na pesa yako.Shida ni Wachina au Serikali Zenye Wapigaji..?
Duh kwahio baada ya miaka kumi tunaweza kujikuta tunazama na Nyerere bridge?!! Inatisha.Siyo kweli. Ujenzi wao hata uko kwao uko hivyo hivyo, ni wa kubabaisha na wenyewe wanajua hivyo. Ni mara kadhaa kwa serikali ya china imekuwa inatafuta Conslutants kuroa kwa Mabeberu ili kukwepesha hilo.
Angalia mifano hii ambayo ni ndani ya china yenyewe
Kinachoogofya ni kuwa nyingi zinaanguka ndani ya miaka kumi tu. Madaraja mengi hujengwa kuhimili mizigo kwa zaidi ya miak hamsini, lakini kwa china ni tofauti kabisa
Hilo daraja hata mimi siliamini sana, ila hatari zaidi iko Kenya kwenye ile SGR yao. Tukiwa hai, baada ya miaka kumi ijayo iwapo JF itaendelea kuwa active tutakumbushana; kuna sehemu walijengea chokaa baada ya kuishiwa sementi wakidai huo ni ugunduzi mpya.Duh kwahio baada ya miaka kumi tunaweza kujikuta tunazama na Nyerere bridge?!! Inatisha.
Ungekuwa unaangalia documentary za huko kwa mabeberu, ungebaini kuwa hata kwao kuna engineering blunders nyingi tu.Siyo kweli. Ujenzi wao hata uko kwao uko hivyo hivyo, ni wa kubabaisha na wenyewe wanajua hivyo. Ni mara kadhaa kwa serikali ya china imekuwa inatafuta Consultants kutoka kwa "Mabeberu" ili kukwepesha hilo.
Angalia mifano hii ambayo ni ndani ya china yenyewe
Kinachoogofya ni kuwa nyingi zinaanguka ndani ya miaka kumi tu. Madaraja mengi hujengwa kuhimili mizigo kwa zaidi ya miak hamsini, lakini kwa china ni tofauti kabisa
Mimi ninaishi kwa mabeberu. Wanalalamika kuwa barabara na madaraja yo mengi yana umri wa takriban miaka mia wanataka yabadilishwe; baadhi ndiyo yameanza kuanguka moja moja kwa uzee siyo kwa engineering mbovu. Siyo unajenga daraja leo kwa mabilioni ya pesa halafu miaka kumi tu limeanguka na kuua watu. Civil Engineering haifanyi kazi hivyo.Ungekuwa unaangalia documentary za huko kwa mabeberu, ungebaini kuwa hata kwao kuna engineering blunders nyingi tu.
Isijekua ni vita vya kibiasharaNikiwa na mamlaka ya kutoa tenda, sitatoa tenda ya ujenzi kwa niaba ya taifa kwa kampuni yoyote ya Kichina. Hata kama pesa zinatoka kwao, nitawaambia warudi nazo kwao.
Katika thread hii nitatoa mifano mingi sana ya ujenzi unaofanywa na Wachina ambao unahatarisha maisha ya watu; kwa bahati nzuri YouTube inatoa ushaidi mwingi sana.
Leo nitaanza na tukio hili lililotokea Pakistan mwanzoni mwezi huu
wakati wachina wanajenga reli ya TAZARA walikuwa hawajawa na tamaa ya utajiri. In fact walijenga reli ile kwa kutumia materials kutoka Ujerumani, siyo ya kutoka China. Kuna aibu tuliyojipatia kuwa treni moja iliharibika, China wakasema ilitoka Ujerumani watatuma mtaalumu kutoka Ujerumani atusaidie, na wajerumani wao wakasema kuwa treni hiyo ilitokea Afrika ya Kusini ambao wakati huo hatukuwa na uhusiano nao kwa sababu ya ubaguzi. Lakini ikabidi tumruhusu kaburu aje kututengenezea treni yetu hiyo tuliyokuwa tunaamini ni ya mchina.Isijekua ni vita vya kibiashara
Kumbuka kua reli ya TAZARA ilijengwa na wachina mwanzo mwisho.
Mimi nakubaliana na wewe kuwa wachina wanafanya kazi chini ya viwango kwa condition moja kubwa, waliowapa kazi hawapo serious katika usimamizi.Mimi ninaishi kwa mabeberu. Wanalalamika kuwa barabara na madaraja yo mengi yana umri wa takriban miaka mia wanataka yabadilishwe; baadhi ndiyo yameanza kuanguka moja moja kwa uzee siyo kwa engineering mbovu. Siyo unajenga daraja leo kwa mabilioni ya pesa halafu miaka kumi tu limeanguka na kuua watu. Civil Engineering haifanyi kazi hivyo.
Mtu anaewapigia promo wa china muangalie mara 2*2 wengi wao uwa na matatizo fulani fulan hivi.Subiri wafuasi flani waje kuwatetea hawa matapeli
Watakuambia hizo ni propaganda za nchi za magharibi, mara wachina hawajawahi kutawala ni rafiki zetu wa kweli, mara utasikia mikopo yao haina masharti ya kuruhusu haki za ushoga...😂😂
Nasikia kuna kampuni fulani ya SinoHydro imepewa tenda ya kujenga barabara ya mwendokasi, kabla hata haijawakabidhiwa tayari ishaanza kubomoka..na ndio hao hao wanajenga bwawa la Nyerere
Acha uongoo.bwawa linajengwa na wamisriSubiri wafuasi flani waje kuwatetea hawa matapeli
Watakuambia hizo ni propaganda za nchi za magharibi, mara wachina hawajawahi kutawala ni rafiki zetu wa kweli, mara utasikia mikopo yao haina masharti ya kuruhusu haki za ushoga...[emoji23][emoji23]
Nasikia kuna kampuni fulani ya SinoHydro imepewa tenda ya kujenga barabara ya mwendokasi, kabla hata haijawakabidhiwa tayari ishaanza kubomoka..na ndio hao hao wanajenga bwawa la Nyerere
Wamisri walipewa tenda kisha na wao wakatoa tenda kwa wachinaAcha uongoo.bwawa linajengwa na wamisri