Ujenzi Unaofanywa na Wachina

Ujenzi Unaofanywa na Wachina

Mimi nakubaliana na wewe kuwa wachina wanafanya kazi chini ya viwango kwa condition moja kubwa, waliowapa kazi hawapo serious katika usimamizi.

Kuna kipindi huwa naangalia kinaitwa "engineering blunders and fixes". Huko ughaibuni wanatoa documentary nyingi tu kuonyesha makosa makubwa wanayofanya wakandarasi wa ujenzi, iwe maharaja au skyscrapers.
Kipindi kinaitwa "Incredible Engineering Blunders ;Fixed" kinakuaga Discovery ya Dstv....ni moja ya vipindi vyangu napenda kuangalia
 
Wachina fake kila kitu na mbaya zaidi hadi kwao wanajenga fake fake tizama ubora wa kazi wa ma kampuni mengine yalipewa miradi na miradi ya wachina ndio utajua hawa wa CHINESE ni wa hovyo.

Mfano angalia DARAJA LA SALENDER BRIDGE linganisha na la kigamboni utaona lipi ni DARAJA LENYE UBORA na finishing nzuri utajua.

Halikadhalika mwende kasi wanao jenga wa China utajua hawa watu ni wa hovyo kuwapa miradi ya ujenzi ,subirini na RELI HIYO wanayo jenga wao kisha linganisha na ya hao Wa TURKEY utaona tofauti.
 
Mtoa mada mimi ninaona tatizo lipo kwa politicians wetu na wenye maamuzi kama wewe, ninakupa mfano, pale mpakani na Zambia, wachina wanajenga Ile barabara kuu, hasa kutoka Isoka hadi Chinsali, ni top class road, pana na nzuri mno,tatizo wapo very slow, pia Wachina wamejenga Ile barabara ya kutoka kafue hadi Kazungula border ipo safi, wachina wamejenga Kazungula Bridge pamoja na zile one stop border post zipo safi, inategemeana na political will ya nchi
Wachina wana kawaida moja. wapo wajuzi na wapo wabangaizaji. wapo wafanya biashara wenye mtaji mzuri, wengine hawana. wapo waaminifu na wapo wezi. inatakiwa kufanya uchunguzi mkubwa kufanya biashara na mchina. karibu bidhaa zote za ulaya zinatengenezwa china. simu .nguo, viatu n.k
 
Nikiwa na mamlaka ya kutoa tenda, sitatoa tenda ya ujenzi kwa niaba ya taifa kwa kampuni yoyote ya Kichina. Hata kama pesa zinatoka kwao, nitawaambia warudi nazo kwao.

Katika thread hii nitatoa mifano mingi sana ya ujenzi unaofanywa na Wachina ambao unahatarisha maisha ya watu; kwa bahati nzuri YouTube inatoa ushaidi mwingi sana.

Leo nitaanza na tukio hili lililotokea Pakistan mwanzoni mwezi huu

Acha kutumika wewe. Hapa tanzania ni mradi gani wamefanya ikaonekana umebomoka? Nchi ya uchina miaka ya karibuni takriban 40 imejengwa na wao wenyewe na kua na miundombinu ya kisasa kabisa. Je unajua daraja toka macao china bara hadi hong kong refu kuliko lolote dunia limejengwa na china?
Usituletee ndaro za wamagharibi kuiponda china.
 
Wachina sio wakuamini mtu anatembea huku kafumba macho wanajenga usiku na hwaoni vizuri
 
Nikiwa na mamlaka ya kutoa tenda, sitatoa tenda ya ujenzi kwa niaba ya taifa kwa kampuni yoyote ya Kichina. Hata kama pesa zinatoka kwao, nitawaambia warudi nazo kwao.

Katika thread hii nitatoa mifano mingi sana ya ujenzi unaofanywa na Wachina ambao unahatarisha maisha ya watu; kwa bahati nzuri YouTube inatoa ushaidi mwingi sana.

Leo nitaanza na tukio hili lililotokea Pakistan mwanzoni mwezi huu

Tuoneshe mifano hai ya construction blunders zilizotokea ndani ya China na siyo nje.
 
Tuoneshe mifano hai ya construction blunders zilizotokea ndani ya China na siyo nje.
Kwani mifano niliyoweka huko nyuma hukuiona?

Mmojawapo ni huu hapa; umeripotiwa na gazeti la kichina

mwingine ni huu

mwingine ni huu

Mwingine ni huu

Unataka mingapi.

Huu hapa ulitokea katikati ya jiji

Wanaokosoa mambo haya wengi ni wajinga wa Engineering, Mtu kala maharage yake huko anakuja kujamba humu.
 
Acha kutumika wewe. Hapa tanzania ni mradi gani wamefanya ikaonekana umebomoka? Nchi ya uchina miaka ya karibuni takriban 40 imejengwa na wao wenyewe na kua na miundombinu ya kisasa kabisa. Je unajua daraja toka macao china bara hadi hong kong refu kuliko lolote dunia limejengwa na china?
Usituletee ndaro za wamagharibi kuiponda china.
Failures hizi zimetokea ndani ya nchi yao na imeripotiwa na wao wenyewe, haikuriptiwa na "mabeberu." Ujenzi wa China bado ni kama wa trial and error, halafu ile ego ya kutaka daraja refu kuliko yote duniani au daraja liliojengwa kwa muda mfupi kuliko yote duniani inachangia sana kufanya wawe na ujenzi mediocre. Record zinaonyesa kuwa kumekuwa na structures kuanguka nyingine hata kabla ujenzi haujaisha nyingi sana China kuliko taifa lolote duniani, rekodi nyingine hiyo.

mwingine ni huu

mwingine ni huu

Mwingine ni huu

Unataka mingapi.

Huu hapa ulitokea katikati ya jiji

Wanaokosoa mambo haya wengi ni wajinga wa Engineering, Mtu kala maharage yake huko anakuja kujamba humu.
Kwani hizo video zinasema uwongo? Failrue baada ya miaka mingi ya service ni kitu kinachoeleweka lakini siyo failure hizi za ghafla zinazotokea muda mfupi baada ya ujenzi kukamilika; hiyo engineering mbovu.
 
Katika mataifa yenye mainjinia wazuri kwa miaka ya hivi karibuni China ni miongoni.
 
Kwani mifano niliyoweka huko nyuma hukuiona?

Mmojawapo ni huu hapa; umeripotiwa na gazeti la kichina

mwingine ni huu

mwingine ni huu

Mwingine ni huu

Unataka mingapi.

Huu hapa ulitokea katikati ya jiji

Sawa, lakini kwa hapa Tanzania, Wachina wamejenga majumba mengi sana na madaraja pia. Je, kuna ghorofa au daraja lililojengwa na Wachina kisha likabomoka au kuvunjika?
 
Kwani mifano niliyoweka huko nyuma hukuiona?

Mmojawapo ni huu hapa; umeripotiwa na gazeti la kichina

mwingine ni huu

mwingine ni huu

Mwingine ni huu

Unataka mingapi.

Huu hapa ulitokea katikati ya jiji

Mradi mmoja kwenye mamilioni? tena inaweza kua mchongo kupiga vita uchina.
 
Mradi mmoja kwenye mamilioni? tena inaweza kua mchongo kupiga vita uchina.
Siyo mmoja mzee wangu, ipo mingi sana. Ila serikali ya China ina sheria moja ya kutotanganza mambo ynayoweza kuiabisha China nchi za nje. Huwa inabomoka wanajenga upya bila kujali gharama zake.
 
Mchina anakujengea kitu kutokana na mfuko wako sasa utaamua mwenyewe kama utatoboa mfuko au chenji ibaki!?
 
Mchina anakujengea kitu kutokana na mfuko wako sasa utaamua mwenyewe kama utatoboa mfuko au chenji ibaki!?
Biashara ya civil engineering haifanyiki hivyo . Ethics za civil engineering ni kuwa utafanya kazi ambayo haihataishi maisha ya binadamu; ndiyo maana ya neno "civil". Siyo kwamba ukinipa hela ndogo nitakujengea ghorfa ambalo litakubomokea wewe na familia yako wakai mimi nimeshasepa. Hiyo siyo Civil Engineering.
 
Tatzo sio wachina tatzo n hawa viongozi wetu wa 10percent
 
Back
Top Bottom