GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Kipindi kinaitwa "Incredible Engineering Blunders ;Fixed" kinakuaga Discovery ya Dstv....ni moja ya vipindi vyangu napenda kuangaliaMimi nakubaliana na wewe kuwa wachina wanafanya kazi chini ya viwango kwa condition moja kubwa, waliowapa kazi hawapo serious katika usimamizi.
Kuna kipindi huwa naangalia kinaitwa "engineering blunders and fixes". Huko ughaibuni wanatoa documentary nyingi tu kuonyesha makosa makubwa wanayofanya wakandarasi wa ujenzi, iwe maharaja au skyscrapers.