Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo waweza kurejea rasmi hivi karibuni

Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo waweza kurejea rasmi hivi karibuni

Usiache mbachao kwa msala upitao. Hamadi iliyo kibindoni. Tamaa mbele mauti nyuma. Dudu liumalo usilipe dole.
 
Kujenga kwanza reli kabla ya bandari ni sawa na mtu kulivuta mkokoteni huku akiwa mbele ya mkokoteni anaouvuta[emoji3]
 
Ulikuwemo bungeni wakati mradi huo unapitishwa. Uligonga meza kupiga ukelele ndiyoooooooo. Halafu sasa ndiyo unataka kutuzuga Watanzania kwamba tumechezewa mno! Kama vile hukuwemo Bungeni wakati. Bunge linaupitisha mradi huo. UNAFIKI uliokubuhu.
Wakati unapatishwa bungeni kulikua na mkataba? Kwamba wabunge waliupitia mkataba pamoja na masharti yake halafu wakapitisha. Ficha upumbavu wako unatia aibu, hujui hata mihimili ya Serikali inafanyaje kazi unaleta ushabiki
 
Sasa wew hasa tatizo lako nini . We rudi burundi kwenu . Ujinga wa watu kama nyie mnakuwa na ghubu kama wa mtu na mkewe kwenye mambo ya nchi. Hamuelewi hata maana ya siasa. Watz mitandaoni kila kitu mnajua. Mpira ungechezwa huku tungekuw mabingwa wa kombe la dunia. Differentiate between real life and your ideal one .
..tatizo huwa mnabana halafu mnapanua pakubwa.

..mfano ni yale makelele ya madai ya usd 191 billion halafu mnakuja kukubali usd 300 million.
 
  • Kukataa dili la Bagamoyo ilikuwa ni Strategic mistake.
  • Ile ni direct foreign investment, siyo mkopo!!!. Tungekuwa wa ajabu sana kukataa midola inayoingia nchini.
  • Utakataaje kwa mfano mradi ambao unaambatana na viwanda 190?
  • Utakataaje kuifanya Tanzania kuwa hub ya mzigo, yaani badala ya wamalawi , wazambia, wacongo kupanda ndege kwenda kuufuata mzigo Guanzhou, mzigo wanaukuta hapo bagamoyo, ina maana trickle down effect tulikuwa hatuioni?
  • Bandari ya Bagamoyo itasiaidia kuilisha SGR mzigo wa kutosha na hivyo reli yetu inayojengwa itatumika effectively ina maana hilo tulikuwa hatulioni?
  • Kuweka dhamana ya ardhi kwa miaka 33 au hata 66 kwa nchi ni kitu kidogo, Nyerere kaondoka madarakani mwaka 1985, ni miaka 34 tayari si ni kama jana tu?
  • Tusiwe waoga, mchina lengo lake wala siyo kutuibia biashara yetu ya bandari ya Dar, maana mapato ya bandari ya Dar kwa mwaka mzima ni vjisenti tu kwa utajiri aliokuwa nao mchina. Mchina anataka bandari ya bagamoyo ili aitumie kama Lango la kuingia Afrika kibiashara, kwetu sisi ni Golden Chance kuwa geti hilo, maana Manufaa yatakoyotokana na hilo ni makubwa zaidi
  • TUKILIKATAA DILI HILO, MCHINA YUKO DETERMINED KUFANYA BIASHARA NA AFRIKA, ATKAKWENDA KUJENGA BANDARI HIYO MSUMBIJI AU HATA DJIBOUTI NA TUTKUWA TUMEJIKOSESHA DILI LA CENTURY!!
  • Naishauri Serikali isiliache dili hili, Hichi Kibandari cha Dar es salaam kilichojengwa na mkoloni ndo kimeshafikia kikomo, kinaweza kutuingizia vihela vya mboga, Lakini kama tunataka Kitu cha Uhakika hata kama itakuja kumilikiwa nasi 100% miaka 30 ijayo hatuna budi kujenga Bandari kubwa ya Kisasa ambayo Matanker Makubwa yenye uwezo wa kubeba mafuta hata Lita Milioni Moja yanaweza kutia nanga, nchi inakua hii na population inaongezeka , baadae tutahitaji volume ya mzigo mkubwa zaidi!
  • Kwa uchumi wetu huu ni kujidanganya kuwa ndani ya miaka 30 tutakuwa na hela ya kujenga bandari yetu wenyewe kwa fedha za ndani, na tukisema tukope World bank Dola bilion 10 (Trilion 23) kujenga sijui bandari ya Tanga au Kilwa au sijui wapi tutakula nyasi
Cc

Jingalao, Wakudadavua, Karlo, et al
 
Sasa wew hasa tatizo lako nini . We rudi burundi kwenu . Ujinga wa watu kama nyie mnakuwa na ghubu kama wa mtu na mkewe kwenye mambo ya nchi. Hamuelewi hata maana ya siasa. Watz mitandaoni kila kitu mnajua. Mpira ungechezwa huku tungekuw mabingwa wa kombe la dunia. Differentiate between real life and your ideal one .
Mbona povu jingi mkuu?. Jiwe hili la gizani limekupata pabaya nn?
 
Source yako bado haiaminiki, huenda ikawa ni "Mwana Halisi" ya China....pia hujaweka nyama kuonesha kama masharti ya mkataba yametenguliwa au bado ni yaleyale.
Poor you! Jenga urafiki na Google kabla hujajiaibisha hapa jukwaani
Screenshot_20190714-105244_Chrome%20Beta.jpeg


Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ushauri kwa wasomaji na wachangiaji, kuna taarifa ilitolewa na watendaji wa kituo cha uwekezaji kuwa endapo wachina watapunguza masharti na kukubali mapendekezo ya upande wa serikari, basi mazungumzo yataendelea,
sasa nadhani pia hao wachina wamepunguza ndo maana mazungumzo yanaanza tena, kwa hiyo tusubili watakapofika mwisho tuwahoji kama kuna mabadiliko au ni yale ya kwanza? Kisha tutoe mbwembwe zetu.
Mmeanza kubadili lugha? Mnatufanya hamnazo, sio?

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom