Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 May 5, 2024 #1 Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma. Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe
Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma. Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe