Barabara hii ya ushoroba kutokea BAGAMOYO/ Bunju kupitia njia panda ya Vikawe Hadi kutokea Kibaha ni muhimu sana kwani ndio barabara pekee inayo unganisha Wilaya ya BAGAMOYO na Mkoa wa Pwani.
Jambo la kushangaza barabara hii inazaidi ya miaka 10 hakuna kinacho endelea, kuna kandarasi yupo pale lakini haieleweki Nini anacho kifanya.
Hivi kweli ni sahihi kujenga km 23 kwa miaka minne,
MENEJA wa TANROADS Mkoa na Wilaya wanafanya kazi gani?!!!
Tunamuomba waziri wa ujenzi aikague hii barabara kuna tatizo.