Tetesi: Ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda kuja Tanga Tanzania.

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
993
Reaction score
785
Wadau habari,
Moja kwa moja kwenye maada, serikali mara kwa mara imekua ikiongelea kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda, lakin mpaka sasa hivi haijulikani kama washaanza kazi ya ujenzi au la! Jamani mwenye taarifa aje atuhabarishe kama wameshaanza na ni wapi walikoanza au wanakoendelea.
 
Ukishajua ndio iwe nini sasa?watu wengine pumba kabisa we kaandamane tu!
 
hahaha tatizo lenu watanzania huwa mwajifanya wajuvi wa kila jambo....

Ni kwambie tuuu kuwa ujenzi wowote ule una hatua .....mfano kwenye bomba la mafuta kuna usanifu wa mambo mengi sana ...kuna udongo...kuna kupima ardhi kuna kuhamisha miundombinu ya vitu vingi sana..........hivyo swala la kuwekwa bomba au kuwekwa reli au kuona barabara za juu zimesimama ni hatua rahisi sana na ya mwisho kuliko kazi inayofanywa kwenye ardhi na usanifu wa kila eneo..

Hivyo kwa kifupi ujenzi umesha anza.
 
Maandamano yamewashinda mnaanza kuulizia bomba la mafuta
Muulize waziri husika kwenye account yake ya twitter atakujibu hapohapo
 
Nyie uvccm mbona wakali hivi? Pengine jamaa anataka kupata hata kibarua ndo maana kauliza
 
A
hahaha tatizo lenu watanzania huwa mwajifanya wajuvi wa kila jambo....

Ni kwambie tuuu kuwa ujenzi wowote ule una hatua .....mfano kwenye bomba la mafuta kuna usanifu wa mambo mengi sana ...kuna udongo...kuna kupima ardhi kuna kuhamisha miundombinu ya vitu vingi sana..........hivyo swala la kuwekwa bomba au kuwekwa reli au kuona barabara za juu zimesimama ni hatua rahisi sana na ya mwisho kuliko kazi inayofanywa kwenye ardhi na usanifu wa kila eneo..

Hivyo kwa kifupi ujenzi umesha anza.[/QUOTE Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
 
hahaha tatizo lenu watanzania huwa mwajifanya wajuvi wa kila jambo....

Ni kwambie tuuu kuwa ujenzi wowote ule una hatua .....mfano kwenye bomba la mafuta kuna usanifu wa mambo mengi sana ...kuna udongo...kuna kupima ardhi kuna kuhamisha miundombinu ya vitu vingi sana..........hivyo swala la kuwekwa bomba au kuwekwa reli au kuona barabara za juu zimesimama ni hatua rahisi sana na ya mwisho kuliko kazi inayofanywa kwenye ardhi na usanifu wa kila eneo..

Hivyo kwa kifupi ujenzi umesha anza.
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
 
huyu aliyeuliza, alitaka kujua kama limeanza au bado , in a positive way, inawezekana kabisa anataka akafanye kazi kule, ana biashara yake ya vilainisha mitambo, vifaa kazi, chakula, anataka akatege afanye biashara, kama kuna mtu anajua progress yake aseme hapa. achani uvyama na siasa
 
kuna watu niwashenzi sana huku jf kwahio kila anaeuliza kuhusu jambo analofanya magufuli ni mpinzani alafu kumbuka kwenye katiba inamruhusu mtu Ku toa mawazo yake sasa ww mtu akutitoa mawazo unamweka kwenye kundi la wapinzank.
 
huyu aliyeuliza, alitaka kujua kama limeanza au bado , in a positive way, inawezekana kabisa anataka akafanye kazi kule, ana biashara yake ya vilainisha mitambo, vifaa kazi, chakula, anataka akatege afanye biashara, kama kuna mtu anajua progress yake aseme hapa. achani uvyama na siasa
Yani sasa hivi kila kinahusishwa na siasa kwa kwenda mbele
 
kitu ambacho sio sahihi, watu wanataka wapate infos za maendeleo lakin kila siku yale yale, sasa hivi hata kama unaulizia wapi ilipo hospital nzuri ya meno, utajibiwa nenda pale Lumumba ofisi za kijani au ufipa, ebo- hawa watu vipi
 
Msije mkanifikiria vibaya ndugu zangu nimeuliza kwa nia njema tu, lakini watu wanakuja na hasira zao za wapi sijui, kama unaona maada ilioulizwa huwezi kuijibu pita kimya hakuna ugomvi, lakini habari ya kumhukumu mtu moja kwa moja wakati hujajua lengo la muulizaji sidhani kama ni busara.
 
Kuna baadhi ya kazi zimeshaanza kufanyika. Kuna mchakato ulifanyika wa usajili wa ajira bomba la mafuta kupitia Tanzania Employment Services Agency(TaESA) ambapo wale wenye kuhitaji ajira walitakiwa wajisajili kwa kuzingatia vigezo.Ila zoezi hilo lilishapita.
 
Maandamano yamewashinda mnaanza kuulizia bomba la mafuta
Muulize waziri husika kwenye account yake ya twitter atakujibu hapohapo
Mbona siasa zimekula bongo zetu jamani!! Wengine tunafukuzia fursa hapo! Kama huna information kukaa kimya hulipii gharama yeyote!
 
Wadau habari,
Moja kwa moja kwenye maada, serikali mara kwa mara imekua ikiongelea kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda, lakin mpaka sasa hivi haijulikani kama washaanza kazi ya ujenzi au la! Jamani mwenye taarifa aje atuhabarishe kama wameshaanza na ni wapi walikoanza au wanakoendelea.

Pole sana.
Ujenzi bado haujaanza.Taarifa kuhusu hatua kwa hatua unaweza kusoma kupitia link hapo chini. au kusikiliza kipindi cha redio ya Mkoani Kagera kuhusu BOMBA LA MAFUTA kila siku saa 3:00 asubuhi.

LINK ya bomba la Mafuta iko hapo==>>http://eacop.com

Link ya Kipindi cha Redio KCR FM bonyeza hapo==>>KAGERA COMMUNITY RADIO LIVE NOW

Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom