Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Kwani ujenzi wa barabara sita kutoka ubungo kwenda chalinze umeanza ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante ndugu.Pole sana.
Ujenzi bado haujaanza.Taarifa kuhusu hatua kwa hatua unaweza kusoma kupitia link hapo chini. au kusikiliza kipindi cha redio ya Mkoani Kagera kuhusu BOMBA LA MAFUTA kila siku saa 3:00 asubuhi.
LINK ya bomba la Mafuta iko hapo==>>EACOP – East African Crude Oil Pipe Line
Link ya Kipindi cha Redio KCR FM bonyeza hapo==>>KAGERA COMMUNITY RADIO LIVE NOW
Ubarikiwe.
Ukishajua ndio iwe nini sasa?watu wengine pumba kabisa we kaandamane tu!
Wamekorogwa, bosi wao hana muelekeo wa kuwafikisha nchi ya asali na maziwa.Afadhali mkuu umenena, maana hawa watu wanakuja na hukumu moja kwa moja kabla hawajajua lengo la muulizaji.
Acheni majibu ya kisiasa watu tunataka tupate kazi hapo. Ujenzi unaanza lini?Maandamano yamewashinda mnaanza kuulizia bomba la mafuta
Muulize waziri husika kwenye account yake ya twitter atakujibu hapohapo