Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 785
Kuuliza kwangu hakukua na lengo baya mkuu nina ndugu zangu hapa wanataka wakafukuzie kazi.wengine
Mkuu mimi sipo huko, nimeuliza kwa lengo zuri tu.Maandamano yamewashinda mnaanza kuulizia bomba la mafuta
Muulize waziri husika kwenye account yake ya twitter atakujibu hapohapo
hahaha tatizo lenu watanzania huwa mwajifanya wajuvi wa kila jambo....
Ni kwambie tuuu kuwa ujenzi wowote ule una hatua .....mfano kwenye bomba la mafuta kuna usanifu wa mambo mengi sana ...kuna udongo...kuna kupima ardhi kuna kuhamisha miundombinu ya vitu vingi sana..........hivyo swala la kuwekwa bomba au kuwekwa reli au kuona barabara za juu zimesimama ni hatua rahisi sana na ya mwisho kuliko kazi inayofanywa kwenye ardhi na usanifu wa kila eneo..
Hivyo kwa kifupi ujenzi umesha anza.[/QUOTE Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.hahaha tatizo lenu watanzania huwa mwajifanya wajuvi wa kila jambo....
Ni kwambie tuuu kuwa ujenzi wowote ule una hatua .....mfano kwenye bomba la mafuta kuna usanifu wa mambo mengi sana ...kuna udongo...kuna kupima ardhi kuna kuhamisha miundombinu ya vitu vingi sana..........hivyo swala la kuwekwa bomba au kuwekwa reli au kuona barabara za juu zimesimama ni hatua rahisi sana na ya mwisho kuliko kazi inayofanywa kwenye ardhi na usanifu wa kila eneo..
Hivyo kwa kifupi ujenzi umesha anza.
Afadhali mkuu umenena, maana hawa watu wanakuja na hukumu moja kwa moja kabla hawajajua lengo la muulizaji.Nyie uvccm mbona wakali hivi? Pengine jamaa anataka kupata hata kibarua ndo maana kauliza
Yani sasa hivi kila kinahusishwa na siasa kwa kwenda mbelehuyu aliyeuliza, alitaka kujua kama limeanza au bado , in a positive way, inawezekana kabisa anataka akafanye kazi kule, ana biashara yake ya vilainisha mitambo, vifaa kazi, chakula, anataka akatege afanye biashara, kama kuna mtu anajua progress yake aseme hapa. achani uvyama na siasa
kitu ambacho sio sahihi, watu wanataka wapate infos za maendeleo lakin kila siku yale yale, sasa hivi hata kama unaulizia wapi ilipo hospital nzuri ya meno, utajibiwa nenda pale Lumumba ofisi za kijani au ufipa, ebo- hawa watu vipiYani sasa hivi kila kinahusishwa na siasa kwa kwenda mbele
Mbona siasa zimekula bongo zetu jamani!! Wengine tunafukuzia fursa hapo! Kama huna information kukaa kimya hulipii gharama yeyote!Maandamano yamewashinda mnaanza kuulizia bomba la mafuta
Muulize waziri husika kwenye account yake ya twitter atakujibu hapohapo
Asante kwa taarifaKuna baadhi ya kazi zimeshaanza kufanyika. Kuna mchakato ulifanyika wa usajili wa ajira bomba la mafuta kupitia Tanzania Employment Services Agency(TaESA) ambapo wale wenye kuhitaji ajira walitakiwa wajisajili kwa kuzingatia vigezo.Ila zoezi hilo lilishapita.
Wadau habari,
Moja kwa moja kwenye maada, serikali mara kwa mara imekua ikiongelea kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda, lakin mpaka sasa hivi haijulikani kama washaanza kazi ya ujenzi au la! Jamani mwenye taarifa aje atuhabarishe kama wameshaanza na ni wapi walikoanza au wanakoendelea.
Ahsante ndugu.Pole sana.
Ujenzi bado haujaanza.Taarifa kuhusu hatua kwa hatua unaweza kusoma kupitia link hapo chini. au kusikiliza kipindi cha redio ya Mkoani Kagera kuhusu BOMBA LA MAFUTA kila siku saa 3:00 asubuhi.
LINK ya bomba la Mafuta iko hapo==>>http://eacop.com
Link ya Kipindi cha Redio KCR FM bonyeza hapo==>>KAGERA COMMUNITY RADIO LIVE NOW
Ubarikiwe.