Tetesi: Ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda kuja Tanga Tanzania.

Kwani ujenzi wa barabara sita kutoka ubungo kwenda chalinze umeanza ?
 
FUARILIA KWENYE WEBASITE ya EAST AFRICA CRUDE OIL PIPELINE ,EACOP WAMEWEKA RATIBA YOTE YA UJENZI
 
Maandamano yamewashinda mnaanza kuulizia bomba la mafuta
Muulize waziri husika kwenye account yake ya twitter atakujibu hapohapo
Acheni majibu ya kisiasa watu tunataka tupate kazi hapo. Ujenzi unaanza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…