Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Wakuu
Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa ajili ya hifadhi ya mazingira na chanzo cha maji utafanyika lini ili kero za upungufu wa rasilimali hiyo upungue au kuisha kabisa?