Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere nini kinaendelea? Na kati ya awamu ya tano na sita ipi inasema ukweli?

Mkuu Ahsante, ntakujibu kwa utangulizi uliotoa kwenye kichwa na sio maudhui. Kumradhi.
Nashindwa tenganisha hilo la Awamu ya tano na wasita kwani ninavyofikiri mimi Awamu zinakuja kwa chaguzi, hivyo kunipeleka kuona Awamu ya sita ni muendelezo wa ya tano.

Kwenye maudhui nitakwapua la "kuwekwa kati" Je kuna uwezekekano? Kunaviashiria? na 'Asali' ? Jibu nilipatalo...Inawezekana
Mkuu yangu macho na sikio nimetega.

Naomba tu(kwa mola), huu mradi ukamilike bila dosari nyingi, na hivyo basi hata baadae vitukuu vyetu wakijalizungumzia hili, basi na Jina la Nyerere liendelee kushamiri na kuheshimika kama Baba wa Taifa.
 
nakumbuka bwawa lile liliitia kiwewe kenya mpaka wakaanza kuupiga vita,usikute ile kauli ya mama kwamba wanyama wanenda kenya kujazwa mimba na kurudi nyumbani kuzaa!!
 
wewe unataka nani awe mkweli? Kwa mfano kama awamu ya sita ni mkweli awamu ya tano utaifanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…