Ujenzi wa bwawa la Thwake wafikia asilimia 37%. Ujenzi waendelea kwa kasi

Ata sikuwa najua if kuna dame inajengwa inayoitwa Thwake
 
Duh! Kwa hili bwawa itakua bao la kweli, yaani shamba ekari laki moja, na pia kuhakikisha uwepo wa maji mji wa Konza, Wakenya jameni tuendelee tu hivi, Afrika hii hadi raha.
 
Duh! Kwa hili bwawa itakua bao la kweli, yaani shamba ekari laki moja, na pia kuhakikisha uwepo wa maji mji wa Konza, Wakenya jameni tuendelee tu hivi, Afrika hii hadi raha.
Haijafikia ata Robo ya hii...Kama unabisha type capacity..achen hizo blah blah za kumwagilia sijui ekari ngapi...cos if ur doing drip irrigation only 1000 L are enough for that ekari
 
Ata sikuwa najua if kuna dame inajengwa inayoitwa Thwake

Yaani imekua vigumu kufuatilia hii miradi, kila siku ghafla tunashtukizwa na bonge la limradi duh!
Hili bwawa balaa sana litafanya makubwa....
 
Haijafikia ata Robo ya hii...Kama unabisha type capacity..achen hizo blah blah za kumwagilia sijui ekari ngapi...cos if ur doing drip irrigation only 1000 L are enough for that ekariView attachment 1491779
Hii ng'ombe inajaribu kulinganisha dam na tank ya lita milioni kumi. Wewe chizi wa Dar unajua dam ni nini? Kumbe sisi Wakenya tunapoteza muda wetu kudebate na watu wajinga hivi?
 
Hii ng'ombe inajaribu kulinganisha dam na tank ya lita milioni kumi. Wewe chizi wa Dar unajua dam ni nini? Kumbe sisi Wakenya tunapoteza muda wetu kudebate na watu wajinga hivi?
Leta capacity acha upimbi...sungura wewe....tunawajua nyie Ni wazee wa majina na mbwembwe nyingi wakati hakuna kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…