Olliver Seid
Member
- May 12, 2017
- 51
- 125
Bwawa la Thwake ambalo litasambaza maji kwa mji wa kiteknolojia wa Konza City. Bwawa hilo pia litatumiwa kama chanzo cha maji utakaotumikia mradi wa kilimo wa unyunyizaji maji katika shamba lililo na ukubwa wa ekari laki moja.