Ujenzi wa Bwawa la Umeme Rufiji, Je ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 Zilifuatwa?

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Kinachoendelea huko Bwawa la Umeme la Mwl Nyerere wote tunalijua kuwa siyo kizuri kwa wananchi wa Rufiji.

Nimeamua kuliangalia tatizo hili kwa kwa kona tofauti. Kuna hizi ISO mbili hapa:
1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System. It details specific processes, procedures and activities that organizations must create, implement, maintain and improve in order to successfully manage making products or delivering services

2. ISO 45001:2018 health and safety management standard. ISO 45001 is an international standard for health and safety at work developed by national and international standards committees independent of government.

Wataalamu wa ujenzi na TANESCO njooni hapa
 
Mafuriko katika bonde la Rufiji yamekuwepo miaka mingi pindi mvua zinapoongezeka au kuwa nyingi.
Hapo hakuna cha ISO wala nini.
Hata kama Bwawa lile lisingekuwepo hayo maji yanayopita bwawani yangepita wapi?
Maji ambayo yalitakiwa yajae baada ya miaka 2 yamejaa kwa miezi 4 tu. Huoni kuwa maji ni mengi sana na mafuriko lazima yangetoea hata kama kusingekuwa na bwawa.
Naona wanasiasa wanatafuta pa kutupia lawama ambazo hazipo
 
Unaweza kuta our dam is not ISO certified Kwamba limejengwa kwa kutumia either TZ Standards, something we have look into as well. Ambazo unakuta ziko very lenience comparing to ISO
 
9001: 2015 is a risk base/proactive system, if properly followed. Hizi shida wala hawezi kukutana nazo

It is more inclusive of all area; safety aspect na pia na other interested parties including neighbours
 
Huko Arusha Kisongo nako kuna bwawa la Mwl Nyerere?, mbona mafuriko ni makubwa?.
Maeneo mengi ya Tanganyika mwaka huu hali ni tofauti, mvua zimenyesha nyingi kupitiliza.

Huko Rufiji mafuriko hayajaanza jana wala juzi, yapo miaka na miaka.

Pia kama kisingizio ni bwawa, vipi hilo bwawa lisingekuwepo hayo maji yanayoleta maafa yangeelekea wapi kama si kwenye makazi ya binadamu?.

Acheni siasa za majitaka.
 
Mafuriko katika bonde la Rufiji yamekuwepo miaka mingi pindi mvua zinapoongezeka au kuwa nyingi.
Hapo hakuna cha ISO wala nini.
Hata kama Bwawa lile lisingekuwepo hayo maji yanayopita bwawani yangepita wapi?
Maji ambayo yalitakiwa yajae baada ya miaka 2 yamejaa kwa miezi 4 tu. Huoni kuwa maji ni mengi sana na mafuriko lazima yangetoea hata kama kusingekuwa na bwawa.
Naona wanasiasa wanatafuta pa kutupia lawama ambazo hazipo
Ndugu Nyachina tuwe wawazi na tuache kuwa watumwa wa viongozi au serikali bali tueleze kwa uwazi tatizo na watendaji wawajibike ile wajenge tabia ya kuheshimu wananchi na hata inapotokea wamefanya makosa wawe na tabia ya kukiri na kujirekebisha.

Nirudi kwenye hoja yako, ni kweli kabisa kuwa mafuriko huko Rufiji yamekuwa yakitokea lakini haijawahi kufikia makubwa na yenye madhara kiasi kama hiki, pamoja na kuwa zimekuwepo mvua kubwa sana (rejea El nino zilizopita) bado wanasema maji yalikuwa kidogo tofauti na mvua hizi ndogo ambazo zimeleta mafuriko makubwa Sana.

Kwa nini bwawa , bwawa lilikusanya maji mengi Sana na yamefunguliwa kwa ghafla kutapishwa, hivyo basi kasi kubwa ya maji na wingi wa maji hayo kutoka ktk bwawa yameungana na maji mengine ya mvua kuwa mengi zaidi yenye kasi kubwa na kuweza kusambaa hata katika sehemu ambazo zilikuwa hazilpati mafuriko.

Tunaeleza haya si kwa nia mbaya bali kupinga uongo wa viongozi ambao umekuwa tabia yao ya kutuumiza badala ya kurekebisha makosa huku wanatuona wajinga. Kumbuka mkuu wa mkoa wa wilaya ya Rufiji alisema wazi kuwa watu waondoke kwa sababu bwawa lilikuwa limejaa na kwamba walikuwa wanatapisha, lakini leo ninyi mnaojifanya wafia vyeo badala ya uhai wa wananchi mnaona kuwa wanataka uwajibikaji wote ni chadema siyo kweli tubadilike
 
Ach
Huko Arusha Kisongo nako kuna bwawa la Mwl Nyerere?, mbona mafuriko ni makubwa?.
Maeneo mengi ya Tanganyika mwaka huu hali ni tofauti, mvua zimenyesha nyingi kupitiliza.

Huko Rufiji mafuriko hayajaanza jana wala juzi, yapo miaka na miaka.

Pia kama kisingizio ni bwawa, vipi hilo bwawa lisingekuwepo hayo maji yanayoleta maafa yangeelekea wapi kama si kwenye makazi ya binadamu?.

Acheni siasa za majitaka.
Acheni kufananisha mafuriko ya Rufiji na mafuriko mengine, mnawafanya viongozi na watendaji kujenga tabia ya kutowajibika na kuendelea kutudanganya.

Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji liko tatizo la uzembe mahali.
 
Unaweza kuta our dam is not ISO certified Kwamba limejengwa kwa kutumia either TZ Standards, something we have look into as well. Ambazo unakuta ziko very lenience comparing to ISO
Tanzanian Standard mmejenga watanzania?, kama hata mwendokasi mnajengewa na wageni ije kuwa bwawa
 
Unaweza kuta our dam is not ISO certified Kwamba limejengwa kwa kutumia either TZ Standards, something we have look into as well. Ambazo unakuta ziko very lenience comparing to ISO
Kwa yule muasisi wake alivyokuwa na akili ndogo kama za ABUNUASI. inawezekana kabisa
 
Floods in the Rufiji valley have existed for many years when the rains increase or become heavy.
There is no ISO or anything.
Even if the Dam did not exist, where would the water flowing through the dam go?
The water that was supposed to be full after 2 years has been full for only 4 months. You don't see that the water is too much and the flood would have occurred even if there was no dam.
I see that politicians are looking for places to throw blame that doesn't exist
Google auto translator :

By Stuxnet

Rufiji hydro Power Dam Construction in Tanzania, Were the ISO 9001:2015 & ISO 45001:2018 standards strictly adhered to?​

We all know what is going on at the Julius Nyerere Hydro Power Dam that it is not good for the people of Rufiji.

I have decided to look at this problem from a different angle. There are these two ISOs here:
1. ISO 9001:2015, is a worldwide standard that sets requirements for a strong Quality Management System. It details specific processes, procedures and activities that organizations must create, implement, maintain and improve in order to successfully manage making products or delivering services

2. ISO 45001:2018 health and safety management standard. ISO 45001 is an international standard for health and safety at work developed by national and international standards committees independent of government.

Construction experts and TANESCO engineers are kindly invited here to share what we don't know
 
Mafuriko huko Athi River Kenya juzi nayo sababu ni Nyerere Hydro? Mafuriko mto Congo huko Congo DR ni bwawa la Nyerere? Mafuriko huko Bujumbura Burundi hadi ziwa Tanganyika kufurika na kuzamisha nyumba za watu chanzo ni Rufiji? Mafuriko mengine ambayo yametokea Russia majuzi na kuzamisha vijiji chanzo ni mto Rufiji na Bwawa la Nyerere?

Vv
 
Huko Arusha Kisongo nako kuna bwawa la Mwl Nyerere?, mbona mafuriko ni makubwa?.
Maeneo mengi ya Tanganyika mwaka huu hali ni tofauti, mvua zimenyesha nyingi kupitiliza.

Huko Rufiji mafuriko hayajaanza jana wala juzi, yapo miaka na miaka.

Pia kama kisingizio ni bwawa, vipi hilo bwawa lisingekuwepo hayo maji yanayoleta maafa yangeelekea wapi kama si kwenye makazi ya binadamu?.

Acheni siasa za majitaka.
Na huku Geita ni kwasababu ya Bwawe la Mwalimu Nyerere? Mwaka huu ulisha tangazwa ni mwaka wa elnino. Mbona hamuelewi. Haya mafuriko tulisha ambiwa tuchukue tahadhari.

Reference yetu ingekuwa mafuriko ya 1998 wakati wa mvua za elnino. Barabara ya Kusini ilikuwa haipitiki
IMG-20240411-WA0088.jpg
 
Huko Arusha Kisongo nako kuna bwawa la Mwl Nyerere?, mbona mafuriko ni makubwa?.
Maeneo mengi ya Tanganyika mwaka huu hali ni tofauti, mvua zimenyesha nyingi kupitiliza.

Huko Rufiji mafuriko hayajaanza jana wala juzi, yapo miaka na miaka.

Pia kama kisingizio ni bwawa, vipi hilo bwawa lisingekuwepo hayo maji yanayoleta maafa yangeelekea wapi kama si kwenye makazi ya binadamu?.

Acheni siasa za majitaka.
Matanzania mengi ni matahira. Mafuriko yako nchi nzima. Mvua wanaziona ila rujifji ndiyo imekuwa kamapeni. Mwanza watunwamekufa mabatin. Dar Es Salaam nyumba, watu na magari vimesombwa.

Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom